Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.