chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Yeye alikuwa malaika wa kuzimu, amerudi kwaoKwani kuna binadamu ambaye huwa haachi chuki kwa baadhi ya watu wengine? Ni malaika tu ndiyo huwa hawaachi chuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alikuwa malaika wa kuzimu, amerudi kwaoKwani kuna binadamu ambaye huwa haachi chuki kwa baadhi ya watu wengine? Ni malaika tu ndiyo huwa hawaachi chuki.
😂😂😂🤣🤣😂😂😂Hivi kuna mtu humu ameonyesha chuki kuzidi za marehemu. Hata shetani alimpa salute
Haujawahi kuofahamu hii I'd mkuu, endelea,Mambo vipi? Kisamv kuna mtu anatafuta Kisamvu, vipi unaweza kumuonjesha?
Ngoja tumuulize Kubenea na Gazeti lakeBen Saanane ni wa daraja gani?
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Ha ha haaa...madai yako kitengo🤣🤣Haujawahi kuofahamu hii I'd mkuu, endelea,
Ulimboka na Mwangosi ni daraja gani?Ben Saanane ni wa daraja gani?
Wee mtoto, hii tabia na desturi mbaya namna hii nani kakufundisha. Kumbuka mheshimiwa raisi amesema huwa anapita humu Jf. Pia na mwenyekiti wako Mh. Mbowe naye huwa anapita humu kila siku.Ile kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Wee mtoto, hii tabia na desturi mbaya namna hii nani kakufundisha. Kumbuka mheshimiwa raisi amesema huwa anapita humu Jf. Pia na mwenyekiti wako Mh. Mbowe naye huwa anapita humu kila siku.
Magufuli aliwakomeshs na hawatamsahau.Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Magufuli alikuwa anacheza na jukwaa. Akazima freedom of expression na kuvitisha vyombo vya habari visiandike habari asizopenda. Ni habari za kumsifu yeye na kuwaponda watangulizi wake ndiyo zilitawalaJPM atabakia kuwa ndiye kiongozi aliyewahi kupendwa saana na watu wa kati na daraja la mwisho!
Mafisadi na vilaza nyie endeleeni kutoa nyongo zenu tuone mwisho wenu!
Shika adabu wewe. Bila shaka ulikua mtumbuliwa, cheti feki au mwizi wa magari kama huyo mkanada koko.Ile kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40
Usihitaji kujua saana! Ila waweza endelea tu kutoa matusi vile utakavyo mkuuHa ha haaa...madai yako kitengo🤣🤣
Unatakiwa kujua na kuamini utajiri unahusiana na umasikini. Unatakiwa kufahamu masikini katika utawala mbaya hana haki. Masikini atawezaje kuishi kama malaika wakati ufisadi unatawala. Na wewe ni mjinga tu na fisadi ndio maana ulimchukia magufuli na kukataa kumuelewa.Magufuli alikuwa anacheza na jukwaa. Akazima freedom of expression na kuvitisha vyombo vya habari visiandike habari asizopenda. Ni habari za kumsifu yeye na kuwaponda watangulizi wake ndiyo zilitawala
Alijuwa kuwa 90% ya Watanzania siyo werevu wa kuchambua uwongo wake. Akapandikiza uwongo ambao bado umejaa kwa Watanzania hadi leo.
He was nothing but a demon. How on earth do you have to say "Kwenye utawala wangu matajiri wataishi kama mashetani?
Ningemuelewa kama angesema "Maskini wataishi kama malaika"
I wish he could die again where he is
Alikua kilaza wa daraja la katiBen Saanane ni wa daraja gani?
Hicho ndicho kilichomfanya magufuli afe mapema kindezi. Kwani kuna dhambi kuwa tajiri? Hizo ndiyo roho za kimaskini ambazo hatuzitaki tena nchini kwetu.Unatakiwa kujua na kuamini utajiri unahusiana na umasikini. Unatakiwa kufahamu masikini katika utawala mbaya hana haki. Masikini atawezaje kuishi kama malaika wakati ufisadi unatawala. Na wewe ni mjinga tu na fisadi ndio maana ulimchukia magufuli na kukataa kumuelewa.
Relax mjaneShika adabu wewe. Bila shaka ulikua mtumbuliwa, cheti feki au mwizi wa magari kama huyo mkanada koko.
Mwaka huu wewe utakufa.Ile kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40