No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?

No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?

Ulitaka waingie msituni mkuu?
Hata wangetaka hakuna wanachadema wa kuingia msituni. Nachosema kama wamesamehe ule uchafuzi mkuu na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchaguzi haramu ikiwa ni matunda ya maridhiano basi haina haja ya kuendelea kuonyesha chuki kwa Magufuli.
 
Ile ilikua shetani kuu, hata wachama chake hawaja msamehe.
Wanachama wake wako milin 15, Chadema mpo mln 10,Vyama vingine wapo mln 6 kwa ujumla wao,tuliobaki wote zaid ya 35mln tulikuwa tunamkubali JPM.
 
Shetani hastahili msamaha
Shetani alimkosea Mungu hivyo kama kusamehewa au kutokusamehewa hiyo ni juu ya Mungu, ila tuliyobaki wote tuna offer ya msamaha wa Mungu endapo tutamuomba msamaha.
 
Hawawezi kumchikia marehemu maana haisaidii, Bali wanachukia falsafa yake ambayo ili kueleweka lazima wamtaje yeye.

Ingekuwa anachukiwa yeye kwani hasira so zingepelekwa Kwa familia yake, michepuko yake iliyoenea nchi nzima na hata ndugu zake lakini mbona hakuna anayewasumbua?

Falsafa inachukiwa Kwa vile wapo ndorobo Bado wanayo na tunaishinao na tusipo kemea watarudia Matendo Yale nasi tuna SEMA huko ni NEVER AND NEVER AND NEVER AGAIN.
 
Mtampenda nyinyi aloowalambisha asali sukuma gang & Co.
Sisi aliyetuulia watu wetu akatutia vilema, kutuvunjia nyumba zetu, kutuibia Mali zetu, atabaki kuwa Jambazi, Liuwaji katili. Wacha Liteseke kuzimu Kama alivyotutesa sisi. Likitembea na batalion nzima ya wanajeshi , likifiri halitokufa , kaondoka kiulaini kabisa kitandani. Let him Burn I H
Katika hayo yote wewe binafsi ulifanywa nini mkuu?
 
Hawawezi kumchikia marehemu maana haisaidii, Bali wanachukia falsafa yake ambayo ili kueleweka lazima wamtaje yeye.
Ingekuwa anachukiwa yeye kwani hasira so zingepelekwa Kwa familia yake, michepuko yake iliyoenea nchi nzima na hata ndugu zake lakini mbona hakuna anayewasumbua?
Falsafa inachukiwa Kwa vile wapo ndorobo Bado wanayo na tunaishinao na tusipo kemea watarudia Matendo Yale nasi tuna SEMA huko ni NEVER AND NEVER AND NEVER AGAIN.
Anachukiwa yeye ndio maana wapo wenye kumwita kuwa ni Lucifer, wapo wenye kusema azidi kuchomwa moto huko motoni, wapo waliyosema kama mnampenda nendeni mkazikwe nae kaburini,wapo wenye kumlaani n.k

Kwa ufupi anachukiwa Magufuli yeye kama yeye kuliko hata hayo mabaya yake, kuna mtu anaweza akaeleza ubaya wa Magufuli kuwa alikuwa fisadi ila mtu huyo huyo yupo radhi kutetea ufisadi wa sasa kwa hoja ya kwamba hata Magufuli alikuwa fisadi au bora huu ufisadi kuliko enzi za Magufuli alikuwa muuwaji.

Ukitizama vizuri utagundua watu wanamchukia Magufuli kuliko yale aliyokuwa akitafanya Magufuli.
 
Shetani alimkosea Mungu hivyo kama kusamehewa au kutokusamehewa hiyo ni juu ya Mungu, ila tuliyobaki wote tuna offer ya msamaha wa Mungu endapo tutamuomba msamaha.
Magumashi alikuwa shetani
 
Magumashi alikuwa shetani
Shetani kwa mtazamo upi? Maana wapo wenye kuamini Shetani ni yule aliyemuasi Mungu na hakuwa binaadamu ila wapo wenye kuamini shetani anaweza kuwa kiumbe yeyote mwenye kutenda maovu kwamba hata wewe kama ni zinifu au shirikina n.k unakuwa ni shetani.

Sasa huyo Magufuli aliyekufa alikuwa shetani yupi?
 
Wewe wasema
 
Mtampenda nyinyi aloowalambisha asali sukuma gang & Co.
Sisi aliyetuulia watu wetu akatutia vilema, kutuvunjia nyumba zetu, kutuibia Mali zetu, atabaki kuwa Jambazi, Liuwaji katili. Wacha Liteseke kuzimu Kama alivyotutesa sisi. Likitembea na batalion nzima ya wanajeshi , likifiri halitokufa , kaondoka kiulaini kabisa kitandani. Let him Burn I H
Mi mwenyewe ndugu yangu kabisa alipotea, Lakini kwa sabb mi nilikuwa namfahamu fika alikuwa ni fisadi na hakuwa na huruma na mali za watanzania, siumii walaah!

Tanzania kwanza
 
Tangu lini ufisadi na form four failure ikawa ni akili?
Ukiwa mjinga huwezi tambua kuwa ni mjinga mpaka usaisiwe kujitambua. Sukuma Gang bado hamjajitambua. Mtu wenu alikuwa fisadi papa na alikuwa na PhD feki.
 
Tangu lini mjinga akaukubali ujinga wake?

Mlipotimliwa serikalini ndo mlidhihirika kuwa nyinyi ni wajinga na mko hivyo! Pumbavu zenu majizi ya mitiahani na mafoji vyeti
Uzuri sijawahi kuajiriwa na Serikali wala mashirika yake hivyo suala la vyeti feki haliko applicable kwangu. Nyie umasikini na ushamba ndiyo unawasumbua kila tajiri mnamuona ni fisadi. Umasikini wenu haiwezi kwisha kwa kuwachukia matajiri. Pumbavu kabisa nyie washamba
 
Hiyo haiwahusu wajinga kama wewe! Ikiwahusu nyinyi wapumbavu njoo na fimbo nipige, nguruwe pori wewe!
Wewe ni mshamba,lofa(masikini) na mpumbavu huu ndiyo wasifu wako. Bwege wewe
 
Ijumaa ijayo siku ya nyama na bia....nitakunywa bia za mnadani zinakuaga tamu utadhani zimepikwa kwenye chungu
 
Back
Top Bottom