pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nyuki hakumbatiwi!
shetani hasifiwi!
shetani hasifiwi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh ndiyo uelewa wako unapoishia? Your argument is too shallow and you've no point at all. Endelea tu kuimba kama kasuku, ' tunataka katiba mpya .... watanzania wanataka katiba mpya ...... as if your a spokesman ya hao watanzania, halafu weye ulishakimbilia ughaibuni kutafuta green pasture. Usitake kutuingilia mambo yetu ya kujenga nchi yetu. Usitake kuingilia maridhiano yetu wewe uliyekimbia nchi kwa kukosa uzalendo. You know very little about our country currently. Wala usitake kujua mimi ni nani.
Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Hawa chadema ni kama ;Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Kwa sababu shetani bado anaendelea kufanya uadui wake hadi sasa ni tofauti na Magufuli.Shetani anakemewa tangu kuumbwa kwa ulimwengu usishangae
Hakuna amani kwa mwovu,hata Lucifer alipoasi kule mbinguni hakupewa nafasi ya kusamehewa. Huyo mtu wenu ni mwovu ndiyo maana yuko motoniHata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Kama wameweza kusamehe ule uchafuzi(uchaguzi) kwa kuukubali na kuweza sasa kuchukua ruzuku zenye kutokana na ule uchafuzi basi pia wamsamehe kiujumla.Ile ilikua shetani kuu, hata wachama chake hawaja msamehe.
Alipendwa na wajinga tuJPM atabakia kuwa ndiye kiongozi aliyewahi kupendwa saana na watu wa kati na daraja la mwisho!
Mafisadi na vilaza nyie endeleeni kutoa nyongo zenu tuone mwisho wenu!
JPM atabakia kuwa ndiye kiongozi aliyewahi kupendwa saana na watu wa kati na daraja la mwisho!
Mafisadi na vilaza nyie endeleeni kutoa nyongo zenu tuone mwisho wenu!
Na Sukuma Gang mko kamaHawa chadema ni kama ;View attachment 2543255
Sasa mbona Mungu anataka tumuombe msamaha au unataka kusema Mungu huwa hasamehi madhambi yetu kwamba sisi wote ni kama Lucifer?Hakuna amani kwa mwovu,hata Lucifer alipoasi kule mbinguni hakupewa nafasi ya kusamehewa. Huyo mtu wenu ni mwovu ndiyo maana yuko motoni
Unajikanyaga tu. Huyo mtu wenu hakuwa na tofauti na LuciferSasa mbona Mungu anataka tumuombe msamaha au unataka kusema Mungu huwa hasamehi madhambi yetu kwamba sisi wote ni kama Lucifer?
Kama ubaya ule wa uchaguzi(uchafuzi) wameusamehe na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchafuzi basi pia wanaweza kusamehe na hayo mengine.Jamaa aliwafanya kitu Mbaya sana mkuu
Mungu anasema tumuombe msamaha anasamehe, wewe unapinga hilo?Unajikanyaga tu. Huyo mtu wenu hakuwa na tofauti na Lucifer
Ulitaka waingie msituni mkuu?Kama ubaya ule wa uchaguzi(uchafuzi) wameusamehe na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchafuzi basi pia wanaweza kusamehe na hayo mengine.
Shetani hastahili msamahaMungu anasema tumuombe msamaha anasamehe, wewe unapinga hilo?
Marehemu anachukiwa hata kwa mambo ambayo watu hawana uhakika nayo, kiwango cha chuki za watu kwa Marehemu ni kikubwa kuzidi hayo mambo ambayo wanasema kayafanya.Hivi kuna mtu humu ameonyesha chuki kuzidi za marehemu. Hata shetani alimpa salute
Siyo hate! Ni fearHata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita wasiyachukulie ni ndwele bali sasa kwa pamoja tugange tu ya sasa na yajayo.
Pia jamaa zetu wana slogan nyingine inayosema, ' Never, never, never again': wakiimanisha bila kuwepo katiba mpya, jamaa hawatashiriki kwenye uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025, yaani jamaa watasusa chaguzi hizo. Hii ni slogan nzuri sana na chama kijani kinasubiri kwa hamu kunufaika na slogan hiyo kama jamaa wataitekeleza kikamilifu bila ya hate wala fear.
Jpm alikuwaga mtu Barabara na magreda nahisi alikupakaga hydroclic mzee ukateleza kama kambale.Pole sana YatarudiIle kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40