Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu.
Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko hata hiki kijichama kinachojiita Kambi rasmi ya upinzani huku 255. However Raila huwa anakuwa fair inapohitajika fair na huwa yeye na watu wake wanakiwasha pale fair inapoondoka.
Maridhiano ya Kenya mara ya mwisho yalikuja baada ya kiwasho cha maana na kupelekea jumuiya za kimataifa kuingilia kati. Serikali ilipata somo na kuwaheshimu wakenya. Leo hii wakenya wameamua tena kuuwasha sababu ya kutoridhishwa na mambo kadha wa kadha. Yes serikali inapata somo.
Huku kwetu Mnaumia, mnafungwa, mnasamehewa halafu Mtawala akijisikia nawasamehe na kutaka mridhiane ili ajiimarishe kisiasa. Yes mnagomagoma kidogo kisha mwisho mnabunya Mpunga , mnalamba asali na kuelekea kibla.
Mbowe na genge lake ajifunze kwa Raila, Wanachadema mjifunze kwa wafuasi wa Raila siyo kukesha Twitter na kuandamana kwa Keybord.
Maridhiano mliyofanya ni maridhiano ya pamoja kati ya ninyi na CCM , lakini tukiwaambia mtupe vipengele vya hayo Maridhiano mnarukaruka kama bisi. Yes HAKUNA MARIDHIANO bali ni maelewano kati Wenyeviti, kulambishwa asali na kusamehewa kesi zenu KWA MANUFAA YENU na si kwa manufaa ya wanchadema au watanzania. yES 2025 MMEWARAHISISHIA CCM kuchukua nchi sababu ya Uchawa wenu.
Hayo maridhiano kamati kuu yenu ilikaa lini kuyajadili?
Viva Raila, Viva Kenya, Viva CCM