No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

Mbowe alishajua watz wapumbavu Hata hayajui yanataka Nini.

Mwache apige mpunga Maisha yasonge. Unapigania majitu yasiyojitambua Hata chembe.

Maneno mengi vitendo sifuri.

Tz Ni nchi ya mimbumbumbu mitupu.
 
Kani watanzania wote wanataka kuitoa CCM au hao wahuni?

Yeye mwenyewe kasanda , halafu anasema sisi waoga. Wakati anatuhamasisha kuandamana tuliomba msaada wake?
Siyo waoga , ALITUMIA tu lugha ya kistaarabu.

Mitanzania Ni mijitu ya hovyo, mipumbavu, isiyojitambua, isiyojua Hata inataka Nini.
 
Back
Top Bottom