No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

No Honey No Fear: Mbowe ajifunze kwa Raila, Wanachadema wajifunze kwa Wakenya

Kama unataka kuandamana andamana na mamako mbowe hana muda wa kupigania wapumbavu.
 
Wakati Meko anampa maagizo DPP walipiga makelele, Leo Bi Hangaya anatoa maagizo ya kuwasamehe WAMEUFYATA. Wabunye tu asali, na ole wao tuwasikie tena baada ya uchaguzi wanataka kuandamana, Tutafufua hizi kesi sisi CCM.
mbowe hana muda wa kupigania wapumbavu kama mnataka kuandamana andamaneni na mamazenu nyumban kwenu.
 
Kani watanzania wote wanataka kuitoa CCM au hao wahuni?

Yeye mwenyewe kasanda , halafu anasema sisi waoga. Wakati anatuhamasisha kuandamana tuliomba msaada wake?
mbowe hana muda wa kupigania wapumbavu kama maisha yamewagonga andamaneni na mamazenu nyumban kwenu
 
Hamkumuona Odinga kwenye maandamano Leo?
alipeleka mtato wake nan maana mkiambiwa muandamane huwa mnasema walete watoto wao so odinga alikuwa na mtoto wake yupi kwenye hayo maandamano na kama hujui odinga amejitokeza mchana.
 
Siasa za Kenya ni za kipuuzi mno. CHADEMA haiwezi kuiga siasa za kikabila. Vurugu za Kenya zinafanywa na wajaluo na sio wakenya wote. Siasa zao ni tofauti kabisa na zetu kwa hiyo hatuwezi kujifunza upuuzi wowote wanaoufanya. Tanzania tunapambana kivyama sio kikabila, kidini wala kiukoo. Kusema kwamba CHADEMA waanzishe maandamano na vurugu kama za Kenya ni kukosa uzalendo na pia ni uhaini.
 
Ndio maana Cuf ilikuwa inaweza kufanya maandamano kutokana na msukumo wa dini.
 
Raila anataka kuramba asali ,CHADEMA wamesharamba asali yaanini kuhangaika na maandamano?
 
alipeleka mtato wake nan maana mkiambiwa muandamane huwa mnasema walete watoto wao so odinga alikuwa na mtoto wake yupi kwenye hayo maandamano na kama hujui odinga amejitokeza mchana.
Swala ni kwanba alikuwepo ama hakuwepo.

Unaweza kutoa mifano ya maandamano ya nyumbu ambayo TL au Dj waliwahi kuwepo?
 
Sawa tukubali kwamba watanzania kiujumla ni waoga, sasa ndio hata wanachadema nao pia ni waoga hawaonyeshi mfano? Hivi kweli watanzania ni waoga au kumekosekana ushawishi?
Ni waoga. Ongezea na hili:kwa mataifa waasisi wa East Africa Community, Watanzania ndo wenye low IQ kuliko wengine. We angalia tu hata suala la LGBTQ , Marais wa Uganda na Kenya wameshatoa msimamo wao thabiti, mama yenu yeye anarembua na kuchungulia kwa uoga asemeje. Mitanzania mioga kama mbwa Koko.
 
Sukuma Gang mnaumia sana kuona amani imerejea nchini,mlizoea siasa za kishenzi za yule mwovu aliyeko motoni sasa hivi. Rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie
 
Siasa za Kenya ni za kipuuzi mno. CHADEMA haiwezi kuiga siasa za kikabila. Vurugu za Kenya zinafanywa na wajaluo na sio wakenya wote. Siasa zao ni tofauti kabisa na zetu kwa hiyo hatuwezi kujifunza upuuzi wowote wanaoufanya. Tanzania tunapambana kivyama sio kikabila, kidini wala kiukoo. Kusema kwamba CHADEMA waanzishe maandamano na vurugu kama za Kenya ni kukosa uzalendo na pia ni uhaini.
Akili za Sukuma Gang zinawaza siasa za vurugu na umwagaji damu, Warundi ni watu washari sana.
 
Sukuma Gang mnaumia sana kuona amani imerejea nchini,mlizoea siasa za kishenzi za yule mwovu aliyeko motoni sasa hivi. Rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana wapuuzi wakubwa nyie
Hii nchi haijawahi kupiteza amani na hicho ndio kitu pekee inachojivunia.
 
Siyo kimeo alikuwa na kesi kweli.. Na kama aliwekewa kimkakati kwa nini aliomba po kama yeye ni mwanaharakati wa kweli.... Kauza mechi sababu ya hiyo kesi..

Heri yetu makunguru wafuata upepo, tunaangalia mwenye nguvu tunaenda naye kuliko wanaharakati feki wenye njaa
Mbowe wala Chadema hawakuomba kesi ifutwe, walisema hawatapiga goti,

Samia ndio aliita viongozi wa dini ikulu na kutoa press kuwa wameomba amfutie mbowe kesi na ikafutwa

Kuhusu kulamba asali, Raila aliitwa Ikulu na Uhuru kisha akaingizwa serikalini kwa mlango wa nyuma na kuacha kuipinga serikali, Ruto kagoma kumuita serikalini ndio anadai ana uchungu na wananchi,

Anyway kwa Tanzania sio mbowe mwenye jukumu la kuitisha maandamano pekee, katiba inakuruhusu hata wewe unaweza kuitisha
 
Mbowe ni Coward tu. Ana maneno ya kishujaa vitendo vya kioga na tamaa ndani yake.

Aliniudhi sana uchaguzi wa 2015 pale alidhihirisha kuwa hana dhamira ya kushirikiana na raia wa taifa hili kama mpinzani.

Alifanya utoto sana na CHADEMA hili wanalijua, kumuunga mkono eti kwasababu yeye ni mwenyekiti wa chama ulikuwa ni upumbavu wa wanachama wala sio busara ya wanachama.

Haiwezekani Dr. Slaa kazunguka inchi nzima miaka yote halafu dakika za mwisho Mbowe anakuja kupewa vihela anamreplace na Lowassa.

Wote waliokubaliana na ule uamuzi walikuwa ndio wasaliti wa hili taifa na raia wake sio CCM.

Katika history ya chaguzi zote hapa inchini, ule ndio uchaguzi ambao hata CCM wanakiri ulikuwa unawatoa ila wakasaidiwa na mbowe dakika za mwisho kurudi tena madarakani.
 
Back
Top Bottom