J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Mar 27, 2023 #41 UHURU JR said: Wamefanyaje hao watu? Click to expand... Wanaanzisha uzi kumlaumu Mbowe kwa nini hafanyi maandamano kama Odinga
UHURU JR said: Wamefanyaje hao watu? Click to expand... Wanaanzisha uzi kumlaumu Mbowe kwa nini hafanyi maandamano kama Odinga
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Mar 27, 2023 #42 Mbowe alishajua watz wapumbavu Hata hayajui yanataka Nini. Mwache apige mpunga Maisha yasonge. Unapigania majitu yasiyojitambua Hata chembe. Maneno mengi vitendo sifuri. Tz Ni nchi ya mimbumbumbu mitupu.
Mbowe alishajua watz wapumbavu Hata hayajui yanataka Nini. Mwache apige mpunga Maisha yasonge. Unapigania majitu yasiyojitambua Hata chembe. Maneno mengi vitendo sifuri. Tz Ni nchi ya mimbumbumbu mitupu.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Mar 27, 2023 #43 Shujaa Mwendazake said: Kani watanzania wote wanataka kuitoa CCM au hao wahuni? Yeye mwenyewe kasanda , halafu anasema sisi waoga. Wakati anatuhamasisha kuandamana tuliomba msaada wake? Click to expand... Siyo waoga , ALITUMIA tu lugha ya kistaarabu. Mitanzania Ni mijitu ya hovyo, mipumbavu, isiyojitambua, isiyojua Hata inataka Nini.
Shujaa Mwendazake said: Kani watanzania wote wanataka kuitoa CCM au hao wahuni? Yeye mwenyewe kasanda , halafu anasema sisi waoga. Wakati anatuhamasisha kuandamana tuliomba msaada wake? Click to expand... Siyo waoga , ALITUMIA tu lugha ya kistaarabu. Mitanzania Ni mijitu ya hovyo, mipumbavu, isiyojitambua, isiyojua Hata inataka Nini.
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Apr 10, 2023 Thread starter #44 This is... said: Siyo waoga , ALITUMIA tu lugha ya kistaarabu. Mitanzania Ni mijitu ya hovyo, mipumbavu, isiyojitambua, isiyojua Hata inataka Nini. Click to expand... Umetisha
This is... said: Siyo waoga , ALITUMIA tu lugha ya kistaarabu. Mitanzania Ni mijitu ya hovyo, mipumbavu, isiyojitambua, isiyojua Hata inataka Nini. Click to expand... Umetisha
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 Apr 10, 2023 Thread starter #45 moesy said: Mleta mada umeandika utumbo. Click to expand... Nakazia