No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Ulijuaje km na wewe sio kahaba mwenzangu??

Halafu wewe ndo wale machokoooo mnaojisell pale kimboka 😹😹😹

Kwahiyo beki hazikabi, diara hayupo golini unapiga kelele uolewe 🀣
Msipoacha umala*ya na kuamua kujitunza na kuheshimu taasisi ya ndoa mtaishia kuchezea p*mbu tu ndoa mtaolewa na masimp
 
Wanawake hawa sio wale ambao Mungu alikua anatoa maagizo. Watu walikua wanaolewa wakiwa bikira, mtu anafunzwa kuheshimu mwanaume tangu mtoto hadi anaolewa.....Sasa hawa mach*ngudoa ukijidanganya ukawaweka ndani utajua hujui
 
Kama unapangiwa wewe usiwasemee wenzako, kama umepangiwa ujue kuna anayepewa
 
Jf kila MTU hataki kuoa but on ground things are so different. Vijana wanaoa vizuri tu, and Ofcoz wanaosema usoe wao wameoa.
Za kuambiwa...
JF is where we dare to talk openly without fear
Humu watu wanachangamsha Tu genge bt things are very different on the ground
 
K wameharibika akili sana hawafai kuwekwa ndani....mtu anasubiri achoke kudanga kisha aolewe. Akisha olewa anaanza kukitembeza kwa ma X walewale ambao walikataa kumuoa. Yaani ukiwafikiria utagundua akili zao hazipo sawa
Mkuu unajua umeongea ukweli sana kaka....

Mifano iko mingi huku mtaani ,kinachonikera tu ni kuwa mwana aliyeoa "type" hiyo anaishia kuteseka na mtu asiyeijua thamani ya mwanaume....yaani unateswa na aliyelala na watu zaidi ya 100 huku akiendelea kuwatembezea awapo hapo ndoani....this is a pathetic!
 
Wazinzi utawajua tu!.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushauri sio amri,yavagae utakuja kutoa ushuhuda hapa!!!

Kaa na hao mabroo watakwambia walioa kwasababu ya msukumo wa ny*g* ila deep down hawana anything wanapata kutoka katika ndoa zaidi ya stress!!!
Aya Asante kaka
 
K wameharibika akili sana hawafai kuwekwa ndani....mtu anasubiri achoke kudanga kisha aolewe. Akisha olewa anaanza kukitembeza kwa ma X walewale ambao walikataa kumuoa. Yaani ukiwafikiria utagundua akili zao hazipo sawa

Nyie madogo,
Ni nani kawalazimisha kwenda kuoa ma slay queen?!!

Mbususu iliyochakazwa vikali na watu zaidi ya 100 unaweka ndani ili ugundue nini?

Hujui kusoma milage?!
Inakuwaje unakubali kufungashiwa mbuzi ndani ya junia?

Nyie wavulana kama hamjui kuchagua wanawake wa maana, nyie ndo tatizo
 
Wewe kama unataka bia za bure sema nikutumie muamala ukalewe ila mambo ya kulazimisha mimi ni mlevi acha bwana mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…