No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

No matter how lonely you feel, never get married. Never ever!!

Ikiwa mtu anaona njia nzuri ya kukabiliana na ugumu wa maisha ni kukatisha uhai wake?

Je, mtu wa aina hiyo ana nini cha kumsaidia mwingine mwenye hali kama yake?

Inamaana hapa Tanzania hakuna ndoa zilizodumu, na zinazoendelea kudumu katika upendo?

Jibu ni zipo nyingi sana.

Sasa wewe mleta mada kama umemilikiwa na mapepo wachafu usitake kuharibu mpango wa Mungu wa dunia salama, usitake kuambukiza watu matatizo yenu ya kiroho mlonayo.

Nyie kataa ndoa mjitafakari sana na campaign zenu...

MNA MATATIZO YA KIROHO...

Inakuwaje mwanaume anaogopa kuoa?

Ndugu zangu kuweni makini wengine wana kile kinaitwa "Spiritual Wives" na "Spiritual Husbands".

Inakuwaje mtu anapambana watu wasioe? Shida ipo...!!!

Kwanini mtaani kuna watoto wa mtaani na tunalazimisha tuwe na watoto wengine wengi wa mtaani japo watakua ndani ya majumba yetu?
Wewe kichwa panzi usio na akili nenda kwa manabii feki huko ukaibiwe na kupakwa mafuta ya zaituni.Huna uwezo wa kuchambua hii mada iko juu ya uwezo wako wa akili.
 
Unavyosema kumpa mimba unasound kama kichwa kimehamia matakoni na matako yamehamia nafasi ya kichwa.Hivi kwa akili yako unadhani K ipo mikononi au usoni kwamba ukimgusa tu mimba inanasa.

Nyie ndo maboya(SIMPS) ambao tunawapiga vita humu.Mnajitoa akili na kuwaona wanawake kama special group au walemavu flani kumbe wenzenu wanaakili na kila kitu wanakifanya in a very calculated manner.

Nyie endeleeni kupigwa iko siku mtaamka udingizini ila itakuwa too late.
wewe ndio huna akili sasa kumbe, unatamani kuwa watoto bora kwa mwanamke ambaye unaona hafai? tatizo mmekariri kuwa ukioa basi mwanamke anataka kitu kwako, ukute maisha yenyewe huna bado unapiga piga kelele humu, kuna wanawake wako njema kila kitu unaweza kuelewa maisha yako yote kama mind set yako imekaa kibwege hivyo!

Ngoja nikufungue hicho kichwa chako, Duniani tunategemeana huwezi kujikamilisha katika kila kitu, unahitaji kizazi chako kiwe bora unahitaj mwanamke ambaye mtatengeneza hicho kizazi bora, unataka uzalishe tu halafu baadaye uje useme watoto hawafai kumbe ambaye hufai wewe.

Changamoto ziko kila sehemu, hata unapoishi kuna changamoto sasa uzembe wako wa kukabiliana na changamoto usiambukize na wengine, kama wewe unaona mwanamke hafai ila kwa kumzalisha tu ibaki kwako
 
We kenge usio na akili hivi kwanza unahela gani wahedi wewe😀😀😀 hivi hii MISIMP kama wewe ndo imezaliwa na MASINGOMAZA.Watoto wa kiume mmelelewa kimayai mayai mnaroho nyepesi watoto wa mama nyie ndio mnajiona magood boy.

Dunia haihitaji mwanamke wala ushubwada wowote.Kitu dunia inaenda kufanya in a few years ni wonders.

Watoto watatungwa na kutunzwa kwenye incubator and for your infos no body will need no body!!!
 
Wewe kichwa panzi usio na akili nenda kwa manabii feki huko ukaibiwe na kupakwa mafuta ya zaituni.Huna uwezo wa kuchambua hii mada iko juu ya uwezo wako wa akili.
Kwamba mimi kichwa panzi?

Okay, its fine...

But atleast i understand the purpose of WOMAN and MAN's creation.

Kwanza wewe kama hutumii mabange ama mapombe nina mashaka.

Ni kama ndio umebalehe, mwanaume gani anaogopa kuface challenges za maisha?

Kama umeshaharibikiwa akili usilazimishe na wengine.

Mke hapatikani kwa shindano la kutafuta mwanamke mrembo zaidi katika akili yako...

Mnavamia magumegume na mtaliwa vichwa sana kwa kujifanya mnaakili.
 
Wewe kichwa panzi usio na akili nenda kwa manabii feki huko ukaibiwe na kupakwa mafuta ya zaituni.Huna uwezo wa kuchambua hii mada iko juu ya uwezo wako wa akili.
Acha ujinga kama yamekushinda unakausha endelea kupiga punyeto, kila siku mnaambiwa msio shape mnang'ang'ana mashepu yanawasumbua mnakuja kufanya ujumuisho eti usioe wanawake wako kimaslahi, kwa kipi ulichonacho, akina Magufuli wamekufa wameacha watoto wako kwenye system, wewe zalisha hutengenezi hata future ya watoto wako, au unafikiri uanaume ni kupiga mbupu tu
 
We kenge usio na akili hivi kwanza unahela wahed wewe hivi hii MISIMP kama wewe ndo imezaliwa na MASINGOMAZA.Watoto wa kiume mmelelewa kimayai mayai mnaroho nyepesi watoto wa mama nyie ndio mnajiona magood boy.
Huna hoja kaa kimya, kama hutaki kuoa kwa sababu ya ujinga wako kaa kimya, mapenzi tu yanakushinda kaa kimya usije walaza njaa watoto bure maana ushaona eti kuoa unamfaidisha mwanamke anakuzalia watoto kwenye kuwapa majina unakimbilia wewe, bure kabisa.

Kama huwezi kuoa kaa kimya acha kubwata bwata bila sababu za msingi
 
Nyie ndo mnapangiwa siku za kula mbususu😀😀😀povu la kutetea uwozo linakutoka my friend umelost.

Pambana na hali yako.Wewe ulidanganywa ukaoa wacha tuwasanue madogo kabla hawajapotea.

Ndoa ilikuwa karne ya 19 kama huamini kamuulize Ki- Awadhi.
 
Mabroo wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka kama nane hivi lakini unakuta

Anakuja hapa Jf anaandika uzi
kataa ndoa,ndoa ni utapeli

Tutafika kweli wajameni
Ushauri sio amri,yavagae utakuja kutoa ushuhuda hapa!!!

Kaa na hao mabroo watakwambia walioa kwasababu ya msukumo wa ny*g* ila deep down hawana anything wanapata kutoka katika ndoa zaidi ya stress!!!
 
Kwamba mimi kichwa panzi?

Okay, its fine...

But atleast i understand the purpose of WOMAN and MAN's creation.

Kwanza wewe kama hutumii mabange ama mapombe nina mashaka.

Ni kama ndio umebalehe, mwanaume gani anaogopa kuface challenges za maisha?

Kama umeshaharibikiwa akili usilazimishe na wengine.

Mke hapatikani kwa shindano la kutafuta mwanamke mrembo zaidi katika akili yako...

Mnavamia magumegume na mtaliwa vichwa sana kwa kujifanya mnaakili.
Endeleeni kufa na tie shingoni, acha niwasanue madogo wafocus na mambo mengine ndoa ni scum!!!
 
Endeleeni kufa na tie shingoni, acha niwasanue madogo wafocus na mambo mengine ndoa ni scum!!!
Unawasanua wewe kama nani?

Inawezekana hapo ulipo toka umeanzisha huu uzi umelewa na unaendelea kunywa, bisha kama nasema uongo, inaonekana una stress, unapoteza vijana.

Ndoa scum kwako, hiyo ni kwako, kama umeharibugi maisha ya mabinti wakati uliopita umewaharibia maisha yao, vuna ulichopanda, ndio unavuna sasa, na ndio maana unaona ndoa si kitu cha thamani.
 
Tatizo wanawake wamejipa umuhimu mkubwa sana, wakiaminishana kua wanaweza bila mwanaume, wanaingia kwenye ndoa kuleta upinzani kwa mwanaume badala ya kua msaidizi...

Mtu anaolewa ile day one anaanza kutafuta back up plan incase ndoa ikivunjika, I mean tunaishi kwa kuoteana sana ndani ya ndoa kama wanyama wa porini....ndoa imepoteza ile radha yake halisi. Mtu ashagongwa na wanaume kama 100 hivi, anaanza kuchoka na soko lake la kudanga linapungua anatafuta simp mmoja ili amuoe.
 
Wazee😀😀😀 msimbe huu hapa umejitokeza na kujitaja wenyewe.

Msimbe hujaolewa kwasababu soko lako limechacha.Acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.Swallow the truth and pray atokee SIMP mmoja akutolee hiyo laana.

Kama tulivyokubaliana wasimbe wote ni vifungashio vya utamu.Chapa ilale kuweka kambi mwiko.Gari ya driving school itabaki huko huko shule hakuna kupeleka nyumbani.

📌📌📌THE SLOGANS SAYS EAT THEM ALL MISIMBEZZZ.
Kwahiyo kwenu kuolewa ni dili?
Haya tuambie wewe toka umeolewa dog style umewekwa mara ngapi? 😹😹
 
Tatizo wanawake wamejipa umuhimu mkubwa sana, wakiaminishana kua wanaweza bila mwanaume, wanaingia kwenye ndoa kuleta upinzani kwa mwanaume badala ya kua msaidizi...

Mtu anaolewa ile day one anaanza kutafuta back up plan incase ndoa ikivunjika, I mean tunaishi kwa kuoteana sana ndani ya ndoa kama wanyama wa porini....ndoa imepoteza ile radha yake halisi. Mtu ashagongwa na wanaume kama 100 hivi, anaanza kuchoka na soko lake la kudanga linapungua anatafuta simp mmoja ili amuoe.
.....wanaume 100 wamempitia....utegemee. lipi kubwa kwake ?!! Ha ha ha
 
Mb.oo zote mjini zinakujua wewe. Motherfanta kweli kahaba wewe..
Ulijuaje km na wewe sio kahaba mwenzangu??

Halafu wewe ndo wale machokoooo mnaojisell pale kimboka 😹😹😹

Kwahiyo beki hazikabi, diara hayupo golini unapiga kelele uolewe 🤣
 
Attachments

  • IMG_4275.jpeg
    IMG_4275.jpeg
    114.9 KB · Views: 2
Ndoa ni agizo la Mungu na si la mwanafamu, bango lako linamaanisha unapingana na Mungu. Maandiko yanasemea hakuna mtu anayeshindana na Mungu anayefanikiwa.

Ushauri: Fanya utafiti wa kutosha kuhusu ndoa, ujue mapungufu yakiyopo na namna ya kuyatatua ndio uandike bandiko lako kwa namna ya kujemga nila si kubomoa.
 
Back
Top Bottom