wewe ndio huna akili sasa kumbe, unatamani kuwa watoto bora kwa mwanamke ambaye unaona hafai? tatizo mmekariri kuwa ukioa basi mwanamke anataka kitu kwako, ukute maisha yenyewe huna bado unapiga piga kelele humu, kuna wanawake wako njema kila kitu unaweza kuelewa maisha yako yote kama mind set yako imekaa kibwege hivyo!
Ngoja nikufungue hicho kichwa chako, Duniani tunategemeana huwezi kujikamilisha katika kila kitu, unahitaji kizazi chako kiwe bora unahitaj mwanamke ambaye mtatengeneza hicho kizazi bora, unataka uzalishe tu halafu baadaye uje useme watoto hawafai kumbe ambaye hufai wewe.
Changamoto ziko kila sehemu, hata unapoishi kuna changamoto sasa uzembe wako wa kukabiliana na changamoto usiambukize na wengine, kama wewe unaona mwanamke hafai ila kwa kumzalisha tu ibaki kwako