sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
- Thread starter
- #21
TATIZO MIKIA mnaongea sana mnafikiri mpira unachezwa kwa mdomo... kwa taarifa yenu mikia mbeya si salama kwa simba.. historia ipo wazi simba haijawah chukua point 3 kwa mbeya city.. sasa huo ujasiri unaokuja nao endelea kuwa nao.. hata hvyo naona ushaanza kujitetea eti mbeya kuna fitna.. pole sana maana unajua baada ya kichapo utakuja na jibu la kuwa fitina zimefanyika.
Najinukuu mwenyewe..
'"17.10.2015.. Simba S.C tutatua Sokoine kuchukua point 3.. maana kama tuliweza kuchukua point 6, Mkwakwani Stadium [fitna zilipozaliwa], tutashindwaje kwa hawa wanaojifunza?!
Mbeya City muwe tayari.. Tumejipanga.".
Na saa 10 ifike mapema.