No Mercy: Mbeya City tunakuja kuchukua Point 3

TATIZO MIKIA mnaongea sana mnafikiri mpira unachezwa kwa mdomo... kwa taarifa yenu mikia mbeya si salama kwa simba.. historia ipo wazi simba haijawah chukua point 3 kwa mbeya city.. sasa huo ujasiri unaokuja nao endelea kuwa nao.. hata hvyo naona ushaanza kujitetea eti mbeya kuna fitna.. pole sana maana unajua baada ya kichapo utakuja na jibu la kuwa fitina zimefanyika.

Najinukuu mwenyewe..

'"17.10.2015.. Simba S.C tutatua Sokoine kuchukua point 3.. maana kama tuliweza kuchukua point 6, Mkwakwani Stadium [fitna zilipozaliwa], tutashindwaje kwa hawa wanaojifunza?!
Mbeya City muwe tayari.. Tumejipanga.
".

Na saa 10 ifike mapema.
 
Simba itafungwa goli mbili tu

FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1

TATIZO MIKIA mnaongea sana mnafikiri mpira unachezwa kwa mdomo... kwa taarifa yenu mikia mbeya si salama kwa simba.. historia ipo wazi simba haijawah chukua point 3 kwa mbeya city.. sasa huo ujasiri unaokuja nao endelea kuwa nao.. hata hvyo naona ushaanza kujitetea eti mbeya kuna fitna.. pole sana maana unajua baada ya kichapo utakuja na jibu la kuwa fitina zimefanyika.

Mkuu leo tumechukua point 3 saafi, wiki ijayo tunaongeza zingine 3 toka Prisons.. Na kurudi Dar tukiwa na point 6 kibindoni.

Mbeya city FC, chapa hawa! Hii sasa ni dharau yaani unaelezea as if Simba watakuwa 24 uwanjani na Mbeya city watakuwa 12 uwanjani! Shwaini!

FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1

Wosia wa Juma Mwambusi wakati anawaaga wachezaji wa Mbeya City - wafungeni hao mikia!

Wosia wake umegonga Mwamba Mkuu.

Mwandishi kidogo unamatatizo unajitahidi kuandika vizuri lakini vitu unavoandika huvijui vizur. Pole wait n see hiyo tar17. Oct siku ya jumamosi kitakachoikuta simba.

Mkuu nilichokishudia leo ni Simba S.C kuibuka na ushindi usio na mashaka.. Vipi kuna kingine tulitakiwa tukione leo uwanjani zaidi ya soka maridadi lililotandazwa leo na vijana wa Msimbazi?

Unajua mikia ni madogo zetu ndo mana tumewaondolea mwambusi walau wapate sare,wkt mikia ikiumiza kichwa jinsi gani watapata sare,wakimataifa tutawapa uzoefu madogo azam ambao nao ni wakimataifa pale uwanja wa taifa.

Mkuu matokeo ya Sokoine;
Mbeya City 0 Simba S.C 1.. Vipi matokeo ya wakimataifa?

wamekuwa wababe wenu tangu timu imeanzishwa labda sasa mtumie pengo la mwambusi.

Kipindi sisi tunalitumia vyema pengo la Mwambusi.. Wao wameshindwa kulitumia pengo la Kiiza Mahattrick.

Nadhan ushindi wa mikia ni kupata droo iyo jumamosi

FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1
 
Mbeya city FC, chapa hawa! Hii sasa ni dharau yaani unaelezea as if Simba watakuwa 24 uwanjani na Mbeya city watakuwa 12 uwanjani! Shwaini!

Shwain imeingiaje hapo, chambua soka huko ulipo wenzako walijaribu wakashindwa
 
TATIZO MIKIA mnaongea sana mnafikiri mpira unachezwa kwa mdomo... kwa taarifa yenu mikia mbeya si salama kwa simba.. historia ipo wazi simba haijawah chukua point 3 kwa mbeya city.. sasa huo ujasiri unaokuja nao endelea kuwa nao.. hata hvyo naona ushaanza kujitetea eti mbeya kuna fitna.. pole sana maana unajua baada ya kichapo utakuja na jibu la kuwa fitina zimefanyika.

Simba hachezi kwa historia anacheza kwa Civics current issues.....
Uliza Tanga watakwambia
 
FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1

Mkuu leo tumechukua point 3 saafi, wiki ijayo tunaongeza zingine 3 toka Prisons.. Na kurudi Dar tukiwa na point 6 kibindoni.

FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1

Wosia wake umegonga Mwamba Mkuu.

Mkuu nilichokishudia leo ni Simba S.C kuibuka na ushindi usio na mashaka.. Vipi kuna kingine tulitakiwa tukione leo uwanjani zaidi ya soka maridadi lililotandazwa leo na vijana wa Msimbazi?

Mkuu matokeo ya Sokoine;
Mbeya City 0 Simba S.C 1.. Vipi matokeo ya wakimataifa?

Kipindi sisi tunalitumia vyema pengo la Mwambusi.. Wao wameshindwa kulitumia pengo la Kiiza Mahattrick.

FT: Mbeya City 0 Simba S.C 1
hongera sembo
 
Last edited by a moderator:
Mabadiliko yamefanyika Uwanja wa Sokoine wakati mwenye mabadiliko mwenyewe yupo jijini humo humo. Peopleees......
 
Back
Top Bottom