No more dairy products from Kenya in Tanzania


Si mkwende. Nani amebembeleza? Tanzania haina maana kwa EAC. Mtatuambukiza ugonjwa wa Magufuli wa kurukaruka huku na kule. Hamna lolote mnalochangia katika EAC isipokuwa kulialia kama visichana vidogo.
 
National interests zipo pia Tanzania mlianza ku-brand sukari yetu counterfeit sasa mmegeukia gesi kisa mnaona hamuwezi kushindana. FYI Kenya ndiyo inaongoza kwa adulteration of oil n gas in the region

Hatuwezi kuahindana vipi, kwani nyinyi.mnaptoduce gas? Kenya inaproduce gas? Si sote tunaagiza kutoka nje?

Sukari yenyu mlikuwa mkinunua nje na kubrand kama yenyu, that wss counterfeit. Ngano pia hivo hivo.

Na kama tayari mnaproduce gas, lazma ihakikishwe iko salama. Hamjakatzwa kuleta gas huku, mmeambiwa tu mpitishe Mombasa.

Na Kenya ndio inaconsume gas nyingi...in fact almost kila kitu kwa wingi kuliko mataifa yote humu, kwa hivyo unaposema Kenya cannot compete...
 
National interests zipo pia Tanzania mlianza ku-brand sukari yetu counterfeit sasa mmegeukia gesi kisa mnaona hamuwezi kushindana. FYI Kenya ndiyo inaongoza kwa adulteration of oil n gas in the region
Is it too hard for you to understand that the steps taken are supposed to establish more control? Tz doesn't sell its gas, why does it need to import and sell it to Kenya? There is Tanzania domestic market for God's grace.
 
Hii shida yoooote kwa sababu kiwanda cha rais Kenyatta kimezuiwa kuuza maziwa Tanzania.
Isitoshe gesi Kenya ni biashara ya wenye nchi. Tanzania ikitaka kuuza gesi Kenya inabidi ikae na hao hao. Magufuli ameleta pingamizi kubwa kwa wenye nchi wa Kenya ambao wamezoea kufanya wanavyotaka
 
Mji gani una largest slums in Africa, second in the world? Au hilo nalo hujui?

The population of peole living in slums in Kenya ni kubwa kuliko any African country
Mnajazana nairobi kulima hamtaki mtakura tyre na blueband
 
Si mkwende. Nani amebembeleza? Tanzania haina maana kwa EAC. Mtatuambukiza ugonjwa wa Magufuli wa kurukaruka huku na kule. Hamna lolote mnalochangia katika EAC isipokuwa kulialia kama visichana vidogo.
Nyoko wewe,nani analilia?,nyie ndo mnaoingilia mambo yetu,kwani msipofuatilia mambo ya Magufuli mnaathirikaje?,nenda katawaze huko
 
Subirini kukuche,ukiamka utajua utakula nini mchana,maana kwa sasa unashibe ya jana usiku

Ndio maana unaujasiri wakuongea,kutukana, nk. kumbuka unae mtukana ndio aliye kushibisha,

MIMI ndio mlezi wako kwa ukanda huu ,kama huamini muulize babu yako,

kati ya wenzio wote wewe ndio unakihelehele cha kutaka kujitegemea,

Nakwambia bado,unahitaji msaada wangu wa hali na mali,naamini nikikuacha unaanguka vibaya

Navaa vibaya ili ww upendeze,nalima ili ww ule,lakini huoni haya unasema eti una majengo marefu

uanaviwanja vya kutua kila ndege wa angani,una gari ndefu kuliko zote duniani nk,

Ila mwanangu unajijua kama unafunza miguuni,Mwanangu unaju kama unachawa kichani,unajua kama mimi ndio pekee naweza kukuto hao funza na chawa

Nikikuacha hakika utakufa,wala jengo wala kiwanaja hutaona dhamani yake.

Najua kwa sasa hutanielewa kwasababu, umeshiba

Hili utalijua vizuri mpaka msimu wa njaa ,msimu wa nzige kutoka turkana au Nakuru

Najua huatelewa vizuri kwakasababu mirungi bado ipo na ukibichi wake,ikikauka jua msimu unakaribia

Kosa vyote ila sio ardhi,kosa vyote ila uwe na UMOJA,MSHIKAMANO NA AMANI,

Kumbuka amani yako ipo mikonono mwangu,
 
Bora wakenya walivyokataza importation ya gas kutoka Tanzania japo tz hatuzalishi hiyo gas
Hizi hatua zilizochukuliwa na kenya dhidi ya tz imepelekea gas tz imeshuka from 22,000 to 18,500
 
Is it too hard for you to understand that the steps taken are supposed to establish more control? Tz doesn't sell its gas, why does it need to import and sell it to Kenya? There is Tanzania domestic market for God's grace.
U fail to know the principles behind regional integration n economic blocks! Regional integration is there to allow a free market where those companies that can sell at a more affordable cost have a comparative advantage.

U as a Kenyan should cherish the likes of Lake oil that bring their gas product at a more cheaper price compared to the existing establishment.

Ur argument Lake oil imports its gas beats the logic considering Kenolkobil just like many other Kenyan companies that import their stuffs to sell across the region, imported all it's gas (as Kenya does not have gas) when was in Tanzania for good them years but wind up their business after failing to compete.

Just to remind u Kenolkobil like many Kenyan companies the latest victim being Nakumatt were 2 separate companies that merged after competition was to drive them to bankruptcy but even after a merge, they were still beaten flat n resorted to a shamely withdrawal from Tanzanian market. [emoji85]

It is out of such reasons I said Kenya is a bitter loser doing protectionism after most of her companies failed to conquer the market in Tanzania. Now seeing their rivals' entrance at her home maket Kenya starts playing dirty games.

FYI gas from Songosongo is on sell in the market too n production capacity is growing. I swear if I were Magu u would have lived to regret what u r doing..


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Nonsense...
 
Nimeelewa na nilikuwa naongelea general trend ya tambo za wakenya kwa watanzania point yao msingi ikiwa kuwa Watanzania wapuuzi sana kwa kuwa hawajui Kiingereza.. Ningewaheshimu zaidi kama mabishano yangekuwa ya hoja badala ya mitusi.. Hoja zingelenga zaidi ukwamuzi wa mtu mweusi toka hili lindi la umasikini na rushwa na ubinafsi. You seem educated na kama umeshawahi toka nje ya bara la Afrika utanielewa.. Huko nje hakuna mkenya wala mtanzania ila ni miafrika meusi.. Huo ndo mtizamo wa watu weupe kwetu wabantu.. Yet here we are tukibishana nani ni nguli wa kuongea Kiingereza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si mkwende. Nani amebembeleza? Tanzania haina maana kwa EAC. Mtatuambukiza ugonjwa wa Magufuli wa kurukaruka huku na kule. Hamna lolote mnalochangia katika EAC isipokuwa kulialia kama visichana vidogo.
 





Wakenya wanauza bidhaa zao nyingi Tanzania kushinda Watanzania wanavyouza Kenya. The losers will be Kenyans.
 
Regional integration is hardly what you want to insinuate where traders in one country are allowed to hoodwink imports as local production to benefit from unhindered business.
 
Regional integration is hardly what you want to insinuate where traders in one country are allowed to hoodwink imports as local production to benefit from unhindered business.
Kenya is doing the same Kenolkobil has no gas Wells in Kenya!
 
Njaa zinawauwa mmekalia tu kula mirungi kama mbuzi kulima hamtaki mnazunguka Nairobi na masuti ya oversize na mibaasha ya kaki mikuubwa kumbe ndani mmepaki mirungi na big G mnaenda kuzitafunia uhuru Park.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji106]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…