JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
Haya sasa_ujanja kuwahi mkuu,...kuna umuhimu mkubwa wa kufanya haya mambo(tena na wanawake wengi) kabla ya uamuzi wa kuoa,.
Da rose 1980 upo......... umeiona hiyo eeh?
kwa ufupi jamaa hawezi hata aende cz kunako sayari kazi bure
dada achape rapa tu hamna cha ziada.
haya sasa,...na wewe pia unataka kunikimbia
si linaitwa tendo la ndoa jamani sasa walifanyafanyeje tena? loh
kuna mwingine alikuwa akifanya akimaliza anazimia hapohapo ila mdada alikubali kufunga ndoa na wanaishi ndoa hz mmmmmmmmmhwatakuwa wanafanya kwa macho...watakuwa wanaangalia mikanda ya wakubwa then wana assume ndo wanafanya wao...
leo mmepania kweli kweli,.....haya bhanakuna mwingine alikuwa akifanya akimaliza anazimia hapohapo ila mdada alikubali kufunga ndoa na wanaishi ndoa hz mmmmmmmmmh
Mkuu mbona wanitisha,baharini kila mtu hupima kima cha maji kwa ubavu wake.ni mkali_ila kanikubali mm,hivyo wewe mwache.....
kuna mwingine alikuwa akifanya akimaliza anazimia hapohapo ila mdada alikubali kufunga ndoa na wanaishi ndoa hz mmmmmmmmmh
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa!...sikutishi mkuu_ni katika harakati za kumlinda na kulinda penzi langu kiongozi wangu.Mkuu mbona wanitisha,baharini kila mtu hupima kima cha maji kwa ubavu wake.
Mkuu mbona wanitisha,baharini kila mtu hupima kima cha maji kwa ubavu wake.
hata mimi naona ipo siku atazima ghafla maskini utamu huu noma..............aposasa.....uyo mgonjwa sasa jaman....ahh kwaiyo daily unakazi ya kumpepea mtu afta game?
so unapata BURRRDANN ....lakin unajua kabsa mwisho wa game una kazi ya kumzindua mtu???
ahh aya bwna lakin kikawaida ngumu kidg...manake siku akizima moja kwamoja itakuwaje?
hata mimi naona ipo siku atazima ghafla maskini utamu huu noma..............
kuna mwingine alikuwa akifanya akimaliza anazimia hapohapo ila mdada alikubali kufunga ndoa na wanaishi ndoa hz mmmmmmmmmh
umeona ennhh?
sasa ya nini kukaa na mbwa asiyebweka?
mbu aasiyeng'ata?
uyo si mbwa...na magorofan atufug MABATA...mtu anakojoa kojoa tu bila mpangilio ahh ningekuwa mimi nakwambia ningeshuka kitandani ningepga pushap tatu..(wakt uo yeye asi ashalala km kawaida yake afta mkojo anaslip) bas nakwambia afta pushap ningempandia apo kitandani ni ngumi za mgongo.kiuno.shingo ..akiniuliza vp una mashetan ningemwambia ndiyo..kayapandisha iweje kashindwa kuyarushisha?
ningemchapa acha nakwambia...au wakat amelala ningemfunga mikono yake kimya kimya kitandani afu ningechukua mkanda nakwambia ningemrabua...ahh mambo gan aya ya kumfanya mwana wa mwenzie aende akajipige keybod choon....yahuuu?
angentambua mbona...