Mwambie afanye maandalizi ya kutosha kabla ya shughuli, wakishaiva na kuwa tayari wote asikurupuke kuanza shughuli. Akiingia atulie kidogo ili kupunguza mhemko, halafu aanze na gia Na. 1, aende 2, 3,4..........akiona anakaribia apunguze speed na kutulia kidogo na kuanza moja. Mbona Mdada atamrudia na kujutia kwa nini alikuwa anapoteza bahati? Tatizo la huyo ndugu yako anaanza na gia nyepesi, badala ya gia nzito, gari lilinapepesuka kabla mafuta hayajapanda. Aelewe kuwa sio vizuri kuwasha gari na kuliondoa muda huo huo tena kwa kasi.