Aha aha aha!jamani huyo jamaa hana tatizo lolote isipokuwa naye hana experience ya kutosha au ana siku nyingi kafanya haya mambo.kwa wanaume watakubaliana nami kwamba unapokuwa unaanza haya maswala au kama una siku nyingi umeyafanya basi unakuwa easily excited na ni rahisi kumwaga wazungu mapema.wakati mwingine hata kabla ya kumuingizia mwenzio kifanyio.waweza kwenda mara nyingi tu lakini hakuna unayoenda zaidi ya dakika 5.Ufumbuzi ni mwanamke kuelewa chanzo chake na asimkejeli kwa njia yoyote maana itamsababishia negative feedback matokeo yake matatizo haya taisha au atashindwa kupandisha mtungi kabisa(performance anxiety).Suluhisho ni kwamba apraise tu kwamba ni kidume ajitahidi tu ili impe muwasha washa wa kufanya nae mara kwa mara,kama issue ni ukosefu wa experience,basi ataipata,hivo atakuwa anaenda kama mara 3 tu lakini atleast round ya 2 na 3 inaweza kuwa sustained atleast for 20 minutes.Kama issue ni kukaka muda mrefu bila ku do,basi level za excitement zitashuka na ataperform vizuri tu