No Pain No Gain

Naam, homa ya Ngabu ipo kila sehemu hadi kwenye kilindi cha moyo wako na ndo maana upo hapa.



Unaona sasa...ndo athari za homa ya Ngabu hiyo.

Lazima ipenye tu. Hakuna namna.

Eti hunipendi...teh teh teh.

Hakuna cha homa kila sehemu...wewe ndio unajiweka kila sehemu.
Hivyo kukukuta kila sehemu sio kwamba tunakufuatilia saaana...adimika uone.
Nobody care.

Ngabu...naona hilo neno lilikuumiza sana kisaikolojia.
Maana ile siku ulimwaga povu sio kidogo,nikadhani yameisha na umesahau tayari...
Kurudia rudia kwako hili neno ni dhahiri lilikuumiza sana.
Am taking back my word,sikuchukii tena,kuwa na amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukuta ndio kitu gani??

Wewe huyo Ngosha si ndio kila siku unamwandikia magazeti humu?? Ushaniona hata siku moja nasupport huo Ukuta au namwandika huyo unayemwita Ngosha??

Ebana eeh Mangi leo naona hauko vizuri.

Ngoja nikuache maana sitaki mtafaruku na wewe.

Wewe nakuheshimu sana yaani.

Ile offer ya Stella bado.

Uwe na jioni njema sana Mangi.

Amani.
 
Hakuna cha homa kila sehemu...wewe ndio unajiweka kila sehemu.
Hivyo kukukuta kila sehemu sio kwamba tunakufuatilia saaana...adimika uone.

Homa ipo. Tena wewe ndo unayo ile kali sana.

Unanifuatilia na ndo maana ukatangaza eti hunipendi huku unanipenda. Usiyempenda huwezi hata kuhangaika kumfuatilia nini kaandika.

Nobody care.

Najua Kiingereza mgogoro kwako...hapo ni 'nobody cares'. Siyo 'nobody care'. Sawa?

Ngabu...naona hilo neno lilikuumiza sana kisaikolojia.

Unaweza kweli ukawa unaona hivyo lakini unachokiona kikawa hakipo na ni maruerue yako tu.

Na mimi naweza nikasema hata mimi nakuumiza sana ndo maana huishi kucheka cheka kila uonapo mtu kanijibu au kaniandika vibaya.

Maana ile siku ulimwaga povu sio kidogo,nikadhani yameisha na umesahau tayari...

Wala halikuwa povu. Wewe labda ndo uliona povu.

Kurudia rudia kwako hili neno ni dhahiri lilikuumiza sana.

Nami naweza kusema kufurahia furahia kwako kila uonapo mtu kanikejeli ni dhahiri shahiri kuwa nimekukaa moyoni na kichwani mwako. Hapo vipi?

Am taking back my word,sikuchukii tena,kuwa na amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Homa imezidi makali hadi unaomba po!

Lame excuse to be on my good graces. That's all you want.

But you can take that 'taking back', shine it up real good, and shove it up where the sun don't shine
 

[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi hufurahi always...sijawahi kufurahi kwa ajili yako, hujawahi kuwa sehemu ya furaha yangu.

Nikiona mtu kaandika chochote cha kunifurahisha hucheka,wewe ndio unajishtukia kwamba furaha yangu hutokana na kejeli juu yako,pole.

Narudia tena,sijawahi kukufuatilia...uwepo wako kila sehemu huku JF ndio unaopelekea uone kama nakufuatilia,wewe kama nani hadi nipoteze muda wangu kukufuatilia?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Narudia tena,sijawahi kukufuatilia...uwepo wako kila sehemu huku JF ndio unaopelekea uone kama nakufuatilia,wewe kama nani hadi nipoteze muda wangu kukufuatilia?

Okay, sawa. Unadai hujawahi kunifuatilia, siyo?

Lakini ushawahi, mara kadhaa [kama sijakosea] kusema kuwa hunipendi. Uongo kweli?

Sasa hunipendi kivipi kama hujawahi kunifuatilia?

Au hujawahi kusema/ kuandika humu kuwa hunipendi?
 
Okay, sawa. Unadai hujawahi kunifuatilia, siyo?

Lakini ushawahi, mara kadhaa [kama sijakosea] kusema kuwa hunipendi. Uongo kweli?

Sasa hunipendi kivipi kama hujawahi kunifuatilia?

Hivi Ngabu kumbe na wewe una akili nzito hivi?
Au umeshanielewa basi tu unatamani kuendelea 'kuargue' na mimi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Well...tufanye hujanielewa,ngoja sasa nikufafanulie [emoji12]

Nimesema Sijawahi kukufuatilia,ila uwepo wako kila sehemu humu JF unakufanya uone kama nakufuatilia wakati sivyo.

Iko hivi...threads nyingi kati ya nizisomazo humu upo,sasa nisichangie kisa wewe upo?


Oh...jamani!Laiti kama ningejua hili neno lingekuumiza kiasi hiki nisingelisema.
Sometimes tunachukulia mambo poa kumbe wenzetu wanaumia sana,kupitia wewe nimejifunza.
Sitokaa nimuambie mtu simpendi humu JF,sipendi kuumiza wengine tena.
 

Ahahahaa sasa nani mwenye akili nzito kati yangu na wewe?

Hujajibu hata swali moja kati ya hayo niliyokuuliza.

Sasa ngoja nikuulize tena.

1]Okay, sawa. Unadai hujawahi kunifuatilia, siyo?

2]Lakini ushawahi, mara kadhaa [kama sijakosea] kusema kuwa hunipendi. Uongo kweli?

3]Sasa hunipendi kivipi kama hujawahi kunifuatilia?

4]Au hujawahi kusema/ kuandika humu kuwa hunipendi?
 
iki kijamaa kinasapoti ushoga, na naskiaga mabaunsa wengi ni mashoga..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…