Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Naam, homa ya Ngabu ipo kila sehemu hadi kwenye kilindi cha moyo wako na ndo maana upo hapa.
Unaona sasa...ndo athari za homa ya Ngabu hiyo.
Lazima ipenye tu. Hakuna namna.
Eti hunipendi...teh teh teh.
Hakuna cha homa kila sehemu...wewe ndio unajiweka kila sehemu.
Hivyo kukukuta kila sehemu sio kwamba tunakufuatilia saaana...adimika uone.
Nobody care.
Ngabu...naona hilo neno lilikuumiza sana kisaikolojia.
Maana ile siku ulimwaga povu sio kidogo,nikadhani yameisha na umesahau tayari...
Kurudia rudia kwako hili neno ni dhahiri lilikuumiza sana.
Am taking back my word,sikuchukii tena,kuwa na amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]