No referendum for ZNZ; Yes for Unity Government!

No referendum for ZNZ; Yes for Unity Government!

http://www.mzalendo.net/breaking-newskikao-cha-blw

Kwa vile tunajadili maada moja, nimepokea mp3 za sauti hizo kutoka barazani.Kiungo kipo juu, nimefungua download links kwa muda kutoa nafasi watu kupata mjadala huo.

Backup link ya sauti hizo za BLW ikishindikana hapo juu unaweza Download kutoka Server yangu kwa kiungo hiki ftp://zanbytes.com/download/BLW/
.
Nilukuwa barazani asubuhi, hiki kikao cha jioni nimechemsha, kwa ruhusa yako naomba update tuiendeleze kutumia mzalendo net, au hiyo link yako. Naomba niojulishe ni live treaming, au recorded halafu ndio una upload.
 
Hakuna tatizo lolote, hizo sauti za barazani wa wachangiaji 4 tumezipokea na kuziupdate kwenye MZALENDO.

Au unazo mp3 nyengine? Kama unazo mp3 za wachangiaji wengine unaweza pia kunitumia kwa ftp ya server yangu ftp://www.zanbytes.com/upload

Shukurani
 
@Pasco
Thanks for the updates...couldnt live without your help on this one. 😀
.
Zanzibar ngumu, asubuhi niliweza leta update, jioni nimechemsha, jamaa walipoona
E-90 iko wazi saa zote, nikaelezwa hairuhusiwi kutumia simu barazani, nikawaambia situmii simu bali natake notes, jamaa akasema wanaoruhusiwa kuingia na vifaa kazi ni wanahabari tuu, wananchi kama mimi tunatakiwa kuja kusikiliza tuu. Hivyo sasa tutahamia Mzalendo, nitajitahidi kupdate kila baada ya 40 min kwa kutoka nje kodogo.

Kutokana na hii hoja kuwa hot, manyoka kibao, naamini waliomind sio Wazenj ni hawa manyoka walijazana kama wananchi.
 
Hakuna tatizo lolote, hizo sauti za barazani wa wachangiaji 4 tumezipokea na kuziupdate kwenye MZALENDO.

Au unazo mp3 nyengine? Kama unazo mp3 za wachangiaji wengine unaweza pia kunitumia kwa ftp ya server yangu ftp://www.zanbytes.com/upload

Shukurani
Thanks, sound recording ya E-90 ni toopoor, naitegemea Mzalendo, saa hizi ndio umenikumbusha umuhimu wa streaming, nina Cowon, ila sikukumbuka kuja nayo Zenj, si unajua tena sisi wabara tuvyochanganyikiwaga tukija huku, utakumbuka kitu kweli?. narudi ndani.
 
Poa wewe kula raha tuu... 😀
 
Pasco, hao manyoka uliowataja ni akina nani? Tupe pia updates za jioni kama utazipata kupitia njia nyingine maana umedai hujaweza kuhudhuria Baraza jioni!
 
Pasco, hao manyoka uliowataja ni akina nani? Tupe pia updates za jioni kama utazipata kupitia njia nyingine maana umedai hujaweza kuhudhuria Baraza jioni!
Manyoka ni UWT kama sikosei...
 
Mseto ni sawa. Lakini sio kama huu ambao wanadai CUF wanaupendelea. Kama wapiga kura wamepiga kura kuchagua CCM kushikilia kiti cha Urais, na ukawa na Makamo mmoja (atakayetokea CUF), Mathalani Rais amefariki katika kipindi cha chini ya miezi sita baada ya kushika madaraka. Jee CUF (kwa maana ya Makamo wa Rais) apewe satuwa ya kushikilia Urais. Jee unawaaqmbia nini wapiga kura (walio wengi) ambao wamechagua CCM katika Urais kwa muhula huo wa miaka mitano? Wapi Demokrasia hapo?

Hiyo ndiyo maana ya mseto wewe!
 
Hiyo ndiyo maana ya mseto wewe!
umeona wapi dunia hii. Serikali ya Democrat-USA (Obama) ni ya Democrat kwa miaka mitatu pale ulingoni, Serikali ya Labour UK ni ya Labour. Kama umeingia hapo kwa mseto wewe ni surbodinate kwa muhula wote ule wa uongozi. Sio kupora madaraka ya watu (Chama kilichoshinda). Kama mseto ni sawa , lakini tuwe na Makamo wa Rais (au hata ukisema Waziri Kiongozi) ambaye hawezi kukaimu madaraka ya Rais anayetoka Chama tofauti na yeye. Tafuteni kitu mtueleze hapo. Sio mseto reja reja tu! kesho Sefu awe Waziri Kiongozi- Abadan- asilan.
 
.
Zanzibar ngumu, asubuhi niliweza leta update, jioni nimechemsha, jamaa walipoona
E-90 iko wazi saa zote, nikaelezwa hairuhusiwi kutumia simu barazani, nikawaambia situmii simu bali natake notes, jamaa akasema wanaoruhusiwa kuingia na vifaa kazi ni wanahabari tuu, wananchi kama mimi tunatakiwa kuja kusikiliza tuu. Hivyo sasa tutahamia Mzalendo, nitajitahidi kupdate kila baada ya 40 min kwa kutoka nje kodogo.

Kutokana na hii hoja kuwa hot, manyoka kibao, naamini waliomind sio Wazenj ni hawa manyoka walijazana kama wananchi.
Pole sana . Kumbe wewe ni mvamizi. Kwa nini unajitia kuvaa koti la wanahabari? Ndio maana vitu vyako vyengine vinakuwa vya ajabu ajabu. Sijui angalu kama mambo ya maadili unayafahamu! Ni kanjanja wewe Mambo ya Ngoswe waachie Ngoswe- Usijaribu kuvaa makoti ya kina Ngoswe. Yatakushinda!!!!!!
 
Kuna habari kuwa hoja ya serikali ya mseto imepita lakini wawakilishi wametofautiana kuhusu tarehe ya kuanzishwa wawakilishi wa CCM wamegawanyika baadhi wanapendekeza kabla ya uchaguzi wengine baada ya uchaguzi mkuu

Kwa upande wa CUF wote wanapendekeza kabla ya uchaguzi kesho wajumbe wanaendelea kuijadili hoja hiyo pamoja na vipengele vyake inavyoonekana itapigwa kura kuhusiana na tarehe ya kuanza serikali ya mseto lakini hoja imepita.
 
@Mwanakijiji

Heshima mkuu hapo umenena...hiyo referendum naona ni uzee wa Msekwa na Makamba.Lakini hii hoja ya referendum imechoka na wala haina makalio 🙄

Zanzibar tumekuwa tukisubiria mseto wetu tokea 1963 hadi leo haujaiva, kila mzenji anaepewa serekali anataka aendeshe pekee...watu washapoteza roho zao 64,2001 sasa CCM wanaona ni bora wafanye huu mchezo wa referendum kukimbia hoja kwa kuiba kura tena ndani ya ZEC.

Aaaag....yule Field Marshal yuko wapi atupatie mapinduzi mengine, lakini yaanzie huko Butiama kwa Msekwa na Makamba 😀
 
Mimi bado nina hope kabisa hata wakileta hiyo referendum wananchi waliowengi wata vote YES kwa mseto ingawa haijulikani ni nani ataisimama lakini i hope YES will be the winner.
 
Mimi bado nina hope kabisa hata wakileta hiyo referendum wananchi waliowengi wata vote YES kwa mseto ingawa haijulikani ni nani ataisimama lakini i hope YES will be the winner.

Tatizo sio wananchi watasema nini, msimamiaji wa hiyo kura ndio mtihani.Hao wananchi kila siku wanasema Seif ndio aongoze nchi, lakini wapi...

Anyway, kwa kukupa hint nakuachia poll ya mtandao wa kizanzibari tuliuliza watembeleaji suali hili:

Unataka serekali ya umoja wa kitaifa Zanzibar?

* Ndio (85%, 482 Votes)
* Hapana (11%, 63 Votes)
* Sijuwi (4%, 24 Votes)

Sasa hata mie naamini wananchi ndio wa mwanzo kusema YES...lkini referee ZEC na anaendesha operesheni ya kuhesabu kura chini ya ulinzi mkali wa JWTZ na usalama wa taifa 😕
 
The question is........huyo raisi atakae kuja na serikali yake wata kubali mseto? Maana haya makubaliano ni kati ya Seif na serikali iliyopo right?
 
Sasa hata mie naamini wananchi ndio wa mwanzo kusema YES...lkini referee ZEC na anaendesha operesheni ya kuhesabu kura chini ya ulinzi mkali wa JWTZ na usalama wa taifa 😕

Kama CCM wataiba kura za referendum nadhani watakuwa wamechochea moto ambao sidhani kama kuna mtu wa kuuzima maana hakutakuwa tena na uchaguzi watakuwa wamefanya kosa la mwaka nafikiri CCM cant do such a big mistake.

And mind you that the referendum will be voted by all Zanzibaris where already CCM is split on this issue therefore CUF whose majority will favour Mseto will be supported by some members of CCM.

Kwa hiyo katika kulinda kura za referendum baadhi ya wana CCM wa YES camp watahusika kuzilinda ndiyo maana nasema atakayesababisha wizi atawasha moto mkubwa sana.
 
The question is........huyo raisi atakae kuja na serikali yake wata kubali mseto? Maana haya makubaliano ni kati ya Seif na serikali iliyopo right?

Atalazimika kuunda serikali ya mseto maana tayari itakuwa kwenye katiba hatakuwa na jinsi ndiyo maana ya hoja kupelekwa BLW.
 
Back
Top Bottom