No reform no election imeshika kasi kituo kinachofuata ni madai ya katiba mpya

No reform no election imeshika kasi kituo kinachofuata ni madai ya katiba mpya

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
478
Reaction score
1,025
Waswahili husema sikio la kufa huwa halisikii dawa, na wakasema pia Kenge hadi damu zitoke masikioni na puani ndo asikie kipigo. Ni wazi kabisa viongozi wa CCM wamechanganyikiwa na bado hawaamini kuwa wananchi ndo wameshaliamsha hivo. Hapa tulipofika ni lazima mabadiliko katika tume ya uchaguzi yafanyike ndo uchaguzi ufanyike, vinginevyo yatawakuta ya Kenge na itakuwa too late.

Usiwafikishe watanzania mahali pa kuleta ukatili wa kuanza ku deal na maadui zao personally kwa kulazimisha jambo lenye maslahi kwa wananchi wote huku Wana CCM wakipambania maslahi ya chama Chao na familia zao. Anayedhani anaikoa nafsi yake binafsi ataingamiza na anayeonekana kuiangamiza nafsi yake kwa kuleta mabadiliko ataiokoa.
 

Attachments

  • VID-20250608-WA0014.mp4
    6.9 MB
Hata wakifanya uchaguzi wa kimagumashi miaka mitano ijayo itakuwa ndefu sana kwa CCM.
Katiba mpya
Reform kufanyika
Tume huru na uchaguzi kufanyika kwa haki basi CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani. Sasa hivi serikali ya CCM kila wanachofanya haiuziki kwa wananchi
 
Sisi kama vijana wazalendo tunataka mataifa ya nje kama marekane watuwezeshe tu zana za kivita tuitwange ccm ili watii madai ya wananchi tunayoyataka.Maana lugha watakayoielewa Kwa haraka ni ya kutwangwa na vifaru,mizinga na makombora ya masafa marefu yaani ballistic missile maana njia ya amani tumeimba toka tupewe uhuru na wazungu hadi Leo hawajawahi kuelewa.NO REFORM NO ELECTION
 
Hata wakifanya uchaguzi wa kimagumashi miaka mitano ijayo itakuwa ndefu sana kwa CCM.
Katiba mpya
Reform kufanyika
Tume huru na uchaguzi kufanyika kwa haki basi CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani. Sasa hivi serikali ya CCM kila wanachofanya haiuziki kwa wananchi
Miaka mitano ni mingi sana wengine miongoni mwetu tunaweza tusiishudie linalowezekana leo lifanyike leo, na hili swala si la chadema tena ni la taifa zima
 
Kuna Nabii moja wa Mungu apa nchini alitoa unabii wake akasema, viongozi wa Dini wawe makini sana this time before election's...
 
Miaka mitano ni mingi sana wengine miongoni mwetu tunaweza tusiishudie linalowezekana leo lifanyike leo, na hili swala si la chadema tena ni la taifa zima
Ndo tunakoelekea ni suala la Taifa,ila ujue lazima wataforce uchaguzi kufanyika, tuone uchaguzi utakuwaje kama mwitikio wa Taifa ukiwa mkubwa ina maana watapiga kura watu wachache sana,usishangae Tanzania nzima waliopiga kura wasifike mil 3, lakini tume itafoji tu data ili ionekane kuna mwitikio
 
Huku kwetu tumeibana ccm mpaka wanakwenda kwenye vikao vyao wakiwa wameficha sare zao. Ikionekana sare ya ccm tu, atasikia No Reforms wengine wanaitikia No Election
 
Siyo kwenu tu hata uku kwetu ukikutwa umevaa sare za CCM unaambiwa no reform no elections...sasa wanachama wanaingia mitini na nguo zao ...tunakoelekea ni kwenda kupigwa makofi sisi wanachama wa Chama kikongwe....🤣🤣🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom