MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Natamani kujua anaswalisha msikiti gani nimtafute Ijumaa ijayo nimpe zawadi yake. Tungekua na viongozi kama hawa watano tu, mbona nchi ingenyooka.Sheikh wangu khalifa hamis, always anasimamia palipo na haki
Nimebarikiwa sana kwa maneno yake mazuri na yakujenga umoja kwa kuusema ukweli. Unafiki, Njaa, majungu, na Uchawa kwake havina nafasi