Ndo tunakoelekea ni suala la Taifa,ila ujue lazima wataforce uchaguzi kufanyika, tuone uchaguzi utakuwaje kama mwitikio wa Taifa ukiwa mkubwa ina maana watapiga kura watu wachache sana,usishangae Tanzania nzima waliopiga kura wasifike mil 3, lakini tume itafoji tu data ili ionekane kuna mwitikio