Pamoja na uchawa mwingi sana Raisi Samia kwasasa amelewa madaraka. Kwasababu hiyo hata weza kukataa fursa ya yeye kuongezewa mwaka mzima kwasababu ya kufanya marekebisho ya sheria ya No reform no election. Wapambe wake wanapenda sana madaraka na kiasi kwamba wakiambiwa ni fursa ya mama kukaa miaka 6 na sio mitano nani atakataa kwa machawa hawa tulio nao.
Kwa wale wanaofikiri Mama atakataa kwasababu anawaogopa wakina Lissu tujiulize. Je ni bora wakina Lissu wapate wabunge wao waongelee hoja au wabaki hivi na kupigania no election no reform kwa miaka 5 mfululizo huo Uraisi utakuwa vipi? Na tumeshaona Lissu hachuji kwa miaka 20 sasa!. Na Heche ni kijana naye sasa Mama haya majembe ni bora wakapige kelele bungeni kuliko huku nje wakati huu hakuna Mbowe.
Lakini hata kama wakisumbua Mama atakuwa na miaka yake 6 pamoja wa nyongeza kama kama akishinda kwa 51% kama Ruto ! na ukimwambia achague demokrasia kwa au miaka 6 Mama atachagua demokrasia mchana kweupe. Anajua anapigana na Chadema miaka 6 halafu atawaachia wengine watajijua huko Mbele yeye Dubai mchuzi umejaa wa kutosha.
Msije kushangaa kabisa Polisi wakaanza kuwapa escort kabisa wakina Lissu ili Mama apate sababu yake ya kuongeza mwaka. Wasio penda hili kwasasa ni Mchimbi maana atachelewa kuwa makamu, Kikwete maana vijana wake watachelewa wakina Makamba, Mwigulu maana anatamani Uraisi sana na wengine wanao msubiria Mama aondoke. Lakini watu wa Mama watagundua ni bora wafanye hayo marekebisho Mama aongoze kwa Amani na apate mwaka mmoja zaidi.
Pascal Mayalla