"No Reform, No Election" mbona imewapanikisha watu kibao kuanzia viongozi mpaka wataalam wa siasa,wazee si mnakubalika, au?

"No Reform, No Election" mbona imewapanikisha watu kibao kuanzia viongozi mpaka wataalam wa siasa,wazee si mnakubalika, au?

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
4,978
Reaction score
2,411
Naona kila mtu kapaniki, watu mlikuwa na matokeo yenu mkononi nini?

Fanyeni siasa, si huwa mnajisifu mnakubalika na raia sasa wasiwasi wa nini!!!

Iwekwe tume huru pale watu tupige kura.

Watu walikuwa wanafanya upinzani kama mtaji tu. Tushachoka maigizo yenu.


Hakuna nchi iliyowekeza kwenye UCHAWA ikotoboa.

Ngoja hii jero nikachangie muvimenti: NIMO 😀😀😀
 
No reform no election is stupid idea, no one can stop election timetable, usiposhiriki kaa pembeni, just simple and clear!
(peace is number one Tanzania priority)
 
Back
Top Bottom