Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,333
- 1,356
Habarini wadau!
Hii agenda imekuwa mwiba mkali sana Kwa CCM na machawa wake, wameingiwa mhaho, hawaoni pa kutokea.
Kwa kweli wananchi tukiiunga mkono na ikafanikiwa ndio itakuwa mwisho wa hiki chama Cha machawa.
Mitandao ya kijamii ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe Kwa wananchi Kwa urahisi kabisa.
Sasa Kwa wale wanaoilewa faida na hasara zake Kwa kina zaidi ninaomba wanisaidie kunieleza hapa niwe na uelewa mpana zaidi na Mimi niieleze Kwa ndugu jamaa na marafiki wasio kuwa na simu kubwa, redio, television na hata magazeti huku kijijini kwetu namtumbo.
Maswali ya msingi.
1. Je, Hii agenda ikifanikiwa tukauzuia huu uchaguzi nini kitafuata baada ya hapo?.
2. Je, Tutafanikiwa vipi kuzuia uchaguzi wakati Kuna vyama shikizi vya ccm ambavyo vitashiriki uchaguzi?.
3. Je, Plani b ni ipi kama wananchi wataandamana na ccm na vyama shikizi vyao wakafanya uchaguzi.
Mimi ninaamini agenda hii ni sahihi na Kwa wakati sahihi.
Naomba wadau niongezeeni maarifa kuhusu hoja hii na mm niweze kunieleza Kwa wengine Kwa usahihi zaidi.
Ahsanteni