Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Juzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku.
Nilipokuwa home umeme ulikatika kama mara mbili hivi huo usiku.
Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka.
Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi kama sikosei. Kuanzia hiyo asubuhi na simu yangu ilizima chaji umeme ulirudi saa 1 kasoro jioni. Nilifika mjini muheza kwa wanaotumia umeme kama kitu chakuendesha maisha yao hakuna kitu kinaendelea.
Nilinunua waya wa chaja na sikuweza hata kuujaribu
Jengine sasa. Nilielekea dukani nikanunua jembe la kulimia nikaelekea kwa fundi kuchomea aninolee nikajikita najicheka tu mwenyewe kwa kujisahaulisha kuwa hiyo siku umeme hakuna.
Nikiwa pale kwa fundi kuchomea nikajikuta naliangalia lile JEMBE la kulimia.
Daah nikasikitika sana baada yakuona chapa ya Made In China.
Nikajiuliza hivi. Nisisi tunajipambanua na kilimo nakitaongeza pato la taifa na ndio itakuwa tegemezi la nchi na kuinua maisha ya mtanzania na kinatolewa BILIONS za bajeti lakini jembe tu la kulimia mkulima wa chini kabisa Tunalitoa China???
Nilicheka sana Nikaona tuna masikhara sana kwakweli.
Nilichoka zaidi nilipokumbuka watu wa Muheza walipotembelewa na mama samia nakusema Kuwa Hawamdai MAMA.
No Reforms No Election. Hii siku ya October nashukuru itakuwa kama holidays nyingine tu sitahangaika kupanga mstari