Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Mabadiliko yatachukua muda kwani wanafiki ni wengi sanaJuzi Alhamisi nilifika Muheza Tanga usiku.
Nilipokuwa home umeme ulikatik km mara mbili hivi huo usiku.
Kesho yake ijumaa simu ikawa inakaribia kuisha chaji. Nikatoka kwenda kununua waya wa chaji mana sikuja nao nilipokuwa huko nilipotoka.
Ile ijumaa Umeme ulikatika saa 5 asubuhi km sikosei.
Kuanzia hiyo asubuhi na simu yangu ilizima chaji umeme ulirudi saa 1 kasoro jioni. Nilifika mjini muheza kwa wanaotumia umeme km kitu chakuendesha maisha yao hakuna kitu kinaendelea.
Nilinunua waya wa chaja na sikuweza hata kuujaribu
Jengine sasa. Nilielekea dukani nikanunua jembe lakulimia nikaelekea kwa fundi kuchomea aninolee nikajikita najicheka tu mwenyewe kwa kujisahaulisha kuwa hiyo siku umeme hakuna.
Nikiwa pale kwa fundi kuchomea nikajikuta naliangalia lile JEMBE la kulimia.
Daah nikasikitika sana baada yakuona chapa ya Made In China.
Nikajiuliza hivi. Nisisi tunajipambanua na kilimo nakitaongeza pato la taifa na ndio itakuwa tegemezi la nchi na kuinua maisha ya mtanzania na kinatolewa BILIONS za bajeti lakini jembe tu la kulimia mkulima wa chini kabisa Tunalitoa China???
Nilicheka sana Nikaona tuna masikhara sana kwakweli
Nilichoka zaidi nilipokumbuka watu wa Muheza walipotembelewa na mama samia nakusema Kuwa Hawamdai MAMA
No Reforms No Election. Hii siku ya October nashukuru itakuwa kama holidays nyengine tu sitahangaika kupanga mstari
Hakuna namna tumechokaMm ntakuwa na ngalawa yangu naelekea bwawa la MUNGU kuvua samaki mkuu....krb sana
HawaruhusuMm ntakuwa na ngalawa yangu naelekea bwawa la MUNGU kuvua samaki mkuu....krb sana