No reforms No Election imepata jibu mtandaoni Oktoba wanatiki kijani

No reforms No Election imepata jibu mtandaoni Oktoba wanatiki kijani

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ccm .jpg
 
Kwa tume hii ilipofika vyama vya upinzani kushiriki vina moyo.Fikiria vyama vya upinzani vinalalamika Wala tume haijihangaishi hata kuwaita viongozi wa upinzani kuwasililiza..
 
No REFORMS no ELECTION
N.RN.E hii sasa ndiyo habari .

Hicho mlichokuja nacho kinazimwa na

No REFORMS no ELECTION
N.RN.E .

Hii kampeni yenu mngeipeleka huko vijijini lakini sio mtandaoni, hapa mmefeli 100%
 
No REFORMS no ELECTION
N.RN.E hii sasa ndiyo habari .

Hicho mlichokuja nacho kinazimwa na

No REFORMS no ELECTION
N.RN.E .

Hii kampeni yenu mngeipeleka huko vijijini lakini sio mtandaoni, hapa mmefeli 100%
tafuta ela acha usumbufu
 
tafuta ela acha usumbufu
Hakuna kazi ngumu kama ya kutetea uovu mkuu, je Hoja zina mantiki au hazina?
Yani mgombea anaitwa Hassani lakini akakosea akaandika Hassan akasahau kuweka I mbele ya N mnamkata kakosea kuandika jina , kwa nini msimpe form aweke Ile i ili aweze kuendelea na kinyang'anyiro cha uchaguzi?

Nani anakata ni DC mteule wa Raisi au RC mteule wa Raisi na wanafanya hivyo kwa maelekezo labda ya Katibu wa CCM .

Nchi ni yetu sote tutendeane Haki .

No REFORMS no ELECTION
N.RN.E
 
Wapiga kura wetu, wameshasema oktoba tunatiki kijani.....we umekaa na simu yako imepasuka kioooo una kazi ya kutype tuuuuuu tukikupa jukwaaa unayeya.....naskia chama kimeuzwa ni kweli?
 
Back
Top Bottom