No reforms No Election imepata jibu mtandaoni Oktoba wanatiki kijani

unafikiri kwanini apewe tena form ili aongeze ile "i" mbele.......?
kugombania kiti cha kisiasa sio sawa na kusubiri ubwabwa wa mkeo pale nyumbani kwenye sahani ya mfupa.
ukikosea kidogo umeachwa. mnataka kuipeleka chaka hii nchi.

Msajili wa vyama na dola vinawalea sana.

Ningekuwa mimi ndo nimeshika rimoti ningemsaidia lissu kukiteketeza hiko chama......ni upuuzi mtupu.
 

Hiyo nafasi hutaki kutoa kwa Hilo kosa la kutoweka I mbele ya jina lililokosewa, lakini kosa Hilo Hilo akilifanya mgombea wa CCM hakatwi jina wala haenguliwi hii sio Haki hata kidogo.

Unasema kukiteketeza chama kwa Hoja Zipi ? Ona mnatunga sheria Spika, naibu Spika , waziri mkuu hawapaswi kushtakiwa popote pale na ndiyo maana hata Hoja za utekaji Spika hataki kuzisikia bungeni maana anajua anakinga hata akiamzisha vita hashitakiwi.

Mmenda mbali mmetumga Hadi sheria za wake wa maraisi walipwe mshahara kwa KAZI gani wanayoifanya? Na hiyo Hoja aliileta mama Salma kikwete bungeni na mkapitisha.

Kwa kifupi tukisema twende kwa Hoja hamna Hoja zaidi ya ubabe , kinachowafanya muogope reform NI kutokubalika kwenu na wananchi.

No REFORMS no ELECTION
N.RN.E
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…