PreGE2025 No Reforms, No Election inazidi kupaa, Gen Z wameamka na kuipokea vilivyo. What a time kushuhudia haya yakitokea

PreGE2025 No Reforms, No Election inazidi kupaa, Gen Z wameamka na kuipokea vilivyo. What a time kushuhudia haya yakitokea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
View attachment 3361587
Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea, wameacha kupuuzia huduma mbovu tunazopatiwa na serikali, wameacha kupuuzia machawa wanaochangia uharibifu wa ukuaji wa nchi hii.

Hapa sasa tunaenda kutengeneza Tanzania tunayoitaka, waharabifu wote sukuma ndani.



View attachment 3361580
View attachment 3361581
View attachment 3361582
View attachment 3361583
View attachment 3361585
View attachment 3361586
Hawa ni Watanzia kweli au Wakenya?
 
IMG-20250609-WA0013.jpg
 
Tunaenda kuzindua daraja la Magufuli na wanachadema atutalitumia maana limejengwa na serikali ya CCM ambayo aitendi haki.
 
Ukisikiliza hoja za CDM kuhusu "No reform no election" zina mashiko kwa 100%
Lakini hoja za CCM hakuna mashiko wala haziingii akili kwa mtu mwenye akili za kawaida kabisa!
Uchaguzi uwe huru na haki kwa wote full stop.
 
Safi sana. Hii imekaa vema.


No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
 
Back
Top Bottom