No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani
2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi

3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali

4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite. Chaguzi za sasa ni wastage of time and resources

5. Reforms zitaondoa au kupunguza rushwa kwenye chaguz.

6. Reforms zitaondoa uchawa na kujipendekeza kwani mtu atashinda kwa uwezo wake tofauti na sasa kiongoz wa juu ndiye anaamua nani awe mbunge na nani akatwe

Kwa ufupi, Reforms zitarudisha mamlaka, maamuzi na heshima kwa wananchi ambao ndio wenye inchi tofauti na sasa
 
Back
Top Bottom