Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Wana madai ya Msingi sana.
UHALISIA ULIVYO
Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe....
Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie.
Kukubali Uchaguzi katika mazingira haya ni kufanywa Watoto..
Ni kupoteza muda.
Nalisema hili kwasababu niliwahi kuwa msimamizi mkuu katika uchaguzi mdogo mwaka 2012 mahali fulani.
UGUMU WA AJENDA HII
Ugumu unatokana na ukweli kwamba CCM ndio wanufaika wa mfumo huu,
Na jeuri na kiburi chote cha CCM kipo hapa..
Hivyo sitarajii kuiona CCM ikikubali agenda hii kwa gharama zozote ziwazo.
Matishio au mashinikizo yeyote kutoka ama madhehebu ya dini au donor communities hayataweza kubadili msimamo wa CCM...
Kwasababu survival ya CCM hutegemea chaguzi za aina hii..
Sioni vilevile uwezekano wa vyama vingine kuungana na CHADEMA ili kuishinikiza CCM.
PENDEKEZO
1.CHADEMA ije na plan B au hata C
2.CHADEMA ikubali kukaa upya na CCM Waridhiane yale Mapungufu ya Sheria ya Uchaguzi kwa utaratibu wa Give and Take...ili hata waki-win nusu utakuwa sio mwanzo mbaya..
haitokuwa kama kukosa kabisa.
Nje ya maridhiano, njia iliyobaki ya kuishinikiza CCM ni Civil War kupitia Maandamano yasiyokoma.
Civil war ya Kenya 2007 ndio result ya unayoyaona leo