Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Uzuri wanasema vita haina macho, huko unakotaftia ugali pakigeuka uwanja wa mapambano akili yako itafunguka tu. Hii kitaalamu inaitwa “KUJIONGEZA”. Mtaji mbio!Naona mnaanza kuchanganyikiwa.
Civil war? Yani niache kutafuta ugali familia yangu nikapigane vita ili chadema iingie madarakani?
Option yenye uhalisia ni chadema kushiriki uchaguzi.
Machafuko yaliyotokea Magomeni Mwembechai mwaka 1998 yalidhihirisha kuwa Civil war is real na inawezekana kabisa. Hata wale watafutaji ugali hawakuonekana mitaa ile.