mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu
No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu
Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa furaha wimbo huu mzuri na mchungu kwa wauwaji
Hata msiyemdhani, ataangushwa!
No reforms no election
No reforms no election
No reforms no election
No reforms no election
No reforms no election
Huu ni uzi wa wapenda mabadiriko, namaanishaa... ni wale ambao tumepoteza ndugu na jamaa zetu kwa sababu tu mtu mmoja kutoka chama fulani kashindwa kwenye box la kura akaamua kuiba na hata kuuwa watu ili tu atangazwe kwa sababu vyombo vyote vipo chini yake