GE2025 No reforms no election! Tumekaribia Ushindi, No reforms no election ikishinda, Tanzania inakuwa huru!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wahi hospitali dogo!
 
Samiaagain2025 bila ya shaka sasa tuko pamoja mkuu
 
Naona kizimkaz no reform no elections ishamchanganya wameamua kumweka maja mtu kat
 
NRNE watu hawajui chanzo chake, msikilize HECHE
Your browser is not able to display this video.
 
Siku zimebakia chini ya 70 Msisimko wa uchaguzi haupo kabisa mitaani - hapo ndipo watawala wetu watawaelewa vizuri watanganyika.

Justification ya uchaguzi huu itakuwa ngumu sana kitaifa na kimataifa- tutakwama, bado tuna muda wa kurekebisha.
 
Mnakinzana na FACTS
Your browser is not able to display this video.
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DuZ8KSxuU/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…