No Reforms No Election yaanza kuunguza, Safari za Ulaya zaanza kuwa Chungu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Huko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.

What a U Turn!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.

UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.

Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.

Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.

Screenshot_2025-06-07-18-28-07-1.png
 
Chadema bhana 😂
Kwan n mara ya kwanza hii rais kuwakilishwa na wengine?
 
Acha kuwa mpuuzi, Malasusa hana kanisa!!. Ulipokuwa unampigia debe hapa mbowe ulikuwa unatunza maneno?. Punguza ujinga mpuuzi wewe.
Achana na huyo mke wa Mbowe, ana matatizo ya akili huyo
 
  • Kicheko
Reactions: Exy
Huko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.

What a U Turn!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.

UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.

Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.

Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.

View attachment 3360021
cha ajab nn apo
 
Back
Top Bottom