LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
NRNE
Anaogopa atapinduliwaAnatokaje sasa? Wenye akili wote wana hasira na yeye si Jeshini si Mtaani.
Mbona kawaida sana tu…. Jumanne ni siku ya gawio na ilishapangwa for months sasaHuko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.
What a U Turn!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.
UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.
Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.
Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.
View attachment 3360021
Wameshaingia kwenye mfumo😀😀😀Huko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.
What a U Turn!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.
UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.
Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.
Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.
View attachment 3360021
Kumbe ni msengelema yaani anatuletee upuuzi kwenye imani sisi.. Malasusa ajibiwe kama yeye sio analeta habari za KANISA. tutamchabanga na zake ninazo kuna siku ntampasua humu. Huyu ni Jongwe mtupu.Achana na huyo mke wa Mbowe, ana matatizo ya akili huyo
Mkutano huo ni wa "Blue Economy", Mwinyi asingekosekana hapo. Usifikiri watu hawajui maumivu yanayowapata sasa.cha ajab nn apo
No reforms no electionChadema bhana 😂
Kwan n mara ya kwanza hii rais kuwakilishwa na wengine?
KWani akitoka nani atajaribu kuchukua nafasi yake ?Anatokaje sasa? Wenye akili wote wana hasira na yeye si Jeshini si Mtaani.
waAnaogopa atapinduliwa
No reform no electionHuko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.
What a U Turn!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.
UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.
Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.
Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.
View attachment 3360021
Aisee hii logo imetulia mno .....hii logo tutaipost kwenye page ya mama kule twitterWataelewa tu
View attachment 3360040
Wanashida kwenye ubongo.Chadema bhana 😂
Kwan n mara ya kwanza hii rais kuwakilishwa na wengine?
Endeleeni kupanua magoliMbona kawaida sana tu…. Jumanne ni siku ya gawio na ilishapangwa for months sasa
😆😆😆😆 Usifanye hivyo bhana! Sasa ukinipasua itakuwaje Aiseeee!!Kumbe ni msengelema yaani anatuletee upuuzi kwenye imani sisi.. Malasusa ajibiwe kama yeye sio analeta habari za KANISA. tutamchabanga na zake ninazo kuna siku ntampasua humu. Huyu ni Jongwe mtupu.