Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
😆😆😆😆Anatokaje sasa? Wenye akili wote wana hasira na yeye si Jeshini si Mtaani.
Kasoro kanisa la MalasusaHata makanisani! Ghafla Dr Mpango aonekana malaika kuliko wote!
Sema kasoro Malasusa, maana Kuna Askofu Jacob Mameo-Ole Paulo wa Morogoro yeye anasema huwezi kushika watu wote Bali Maridhiano au kuwasikiliza wenye malalamiko ndio njia. Na sio kuteka na ubabeKasoro kanisa la Malasusa
Acha kuwa mpuuzi, Malasusa hana kanisa!!. Ulipokuwa unampigia debe hapa mbowe ulikuwa unatunza maneno?. Punguza ujinga mpuuzi wewe.Kasoro kanisa la Malasusa
Achana na huyo mke wa Mbowe, ana matatizo ya akili huyoAcha kuwa mpuuzi, Malasusa hana kanisa!!. Ulipokuwa unampigia debe hapa mbowe ulikuwa unatunza maneno?. Punguza ujinga mpuuzi wewe.
cha ajab nn apoHuko Mwanzoni angetumwa Kaka, lakini sasa hivi anatumwa Makamu wa Rais.
What a U Turn!
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR Philip Mpango leo tarehe 07 Juni 2025 ameondoka nchini kuelekea Ufaransa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhukwenye Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), utakaofanyika Jijini Nice, kuanzia tarehe 09 hadi 13 Juni, 2025.
UNOC3 ni jukwaa muhimu la kimataifa la kuhamasisha utekelezaji wa lengo la Maendeleo Endelevu namba 14 (SDG 14) linalolenga kuhifadhi na kutumia kwa uendelevu rasilimali za bahari, bahari kuu na mazingira ya pwani.
Mkutano huo unawakutanisha Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa, Mashirika ya Kimataifa, Asasi za Kiraia pamoja na Sekta binafsi.
Aidha, Makamu wa Rais anatarajiwa kushiriki katika mikutano ya Uwili yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania, Mashirika na Mataifa yanayoshiriki Mkutano huo.
View attachment 3360021
Acha ujinga wewe malasusa hana kanisaKasoro kanisa la Malasusa
Acheni chuki nyumbu nyieSamia hana uwezo wa kuongoza nchi hana kabisa ndio maana analazimisha uchaguzi kwa mahitaji yake
Usituunganishe na hilo pandikizi la CCMKasoro kanisa la Malasusa