No Reforms No Election yaanza kuunguza, Safari za Ulaya zaanza kuwa Chungu

Mbona kawaida sana tu…. Jumanne ni siku ya gawio na ilishapangwa for months sasa
 
Wameshaingia kwenye mfumoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Achana na huyo mke wa Mbowe, ana matatizo ya akili huyo
Kumbe ni msengelema yaani anatuletee upuuzi kwenye imani sisi.. Malasusa ajibiwe kama yeye sio analeta habari za KANISA. tutamchabanga na zake ninazo kuna siku ntampasua humu. Huyu ni Jongwe mtupu.
 
No reform no election
 
Kumbe ni msengelema yaani anatuletee upuuzi kwenye imani sisi.. Malasusa ajibiwe kama yeye sio analeta habari za KANISA. tutamchabanga na zake ninazo kuna siku ntampasua humu. Huyu ni Jongwe mtupu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Usifanye hivyo bhana! Sasa ukinipasua itakuwaje Aiseeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…