Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nimecheka hili neno kuvurumishwa..Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.
View attachment 3311266
Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchi Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms
Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.
SafiBaadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.
View attachment 3311266
Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchi Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms
Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.
Kuna taarifa kuwa hawataandamana bodaboda kupitia Viongozi wao ni ya kweli?Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.
View attachment 3311266
Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchi Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms
Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.
Kula kitimoto tako linawiri dogoMoto wa NRNE uwe hapo hapo. 50,000 yangu lazima isome hapo kwenye tonetone jumatano kesho kutwa.
πππNo Reforms ndiyo habari ya town, CCM kazi mnayo - watu washawashtukia mna siasa la kilaghai.
Safi sana kwa kuchangia ukomboziMoto wa NRNE uwe hapo hapo. 50,000 yangu lazima isome hapo kwenye tonetone jumatano kesho kutwa.
πKula kitimoto tako linawiri dogo
Upinde fc
πππNimecheka hili neno kuvurumishwa..
Hii siachi, kila nikapata hata 10,000 huwa narusha humo, najua umuhimu wa jambo hili.Safi sana kwa kuchangia ukombozi
Utabarikiwa sanaHii siachi, kila nikapata hata 10,000 huwa narusha humo, najua umuhimu wa jambo hili.
ππShikilia apo apo,mpaka mboga mboga wanyooshe mikono juu