PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kariakoo, kuvurumishwa mtaa wa Nyamwezi, boda boda kuongoza msafara

PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kariakoo, kuvurumishwa mtaa wa Nyamwezi, boda boda kuongoza msafara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
SusaSusa FC 🙌🏾

...hata ikaja kutokea wanachama wote waliojiunga na CHADEMA wakapige Kura, uchaguzi mkuu 2025, hawatashinda.

Hiyo ni fact

NRNE ni kwa Wanachama wa CHADEMA.

...kwa Watanzania ambao wangependa kuona mabadiliko hata yale ya geresha, wanahitaji kutongozwa vizuri na sera mbadala.

CHADEMA haina sera!

Uzeni sera na sio kuwalazimisha watu kususia Uchaguzi.
Sasa kama haina sera mnaogopa nini kuweka mizani sawa ya ushindani?
 
Hiyo elfu 50 ungenunulia vocha mtu mzima usingekuja kulialia hapa Vodacom wanakuibia vocha ya elfu moja.
Kuna tofauti ya kuibiwa na kutoa kwa ridhaa boss. Tenganisha hayo mambo tafadhali.
 
Back
Top Bottom