PreGE2025 No Reforms No Election yaingia Kariakoo, kuvurumishwa mtaa wa Nyamwezi, boda boda kuongoza msafara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuhamasisha watu wasusie uchaguzi endapo hakuna mabadiliko ndio jambo la maana kila mtu akamate watu 100 na hao mia wakamate 100 siku ya kupiga kula kusiwepo na mpenda haki ambaye atakwenda kupiga kura. NRNE.
 
Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.

View attachment 3311266

Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchi Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms

Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.
Nyumbu wasahaulifu sana, chadema mkiongozwa na Lema mlisema bodaboda kazi ya laana wamelaaniwa. Leo mnaongozwa na hao wanaofanya kazi mliyosema ya laana halafu mnakuja kujisifu hapa?!
Nyumbu hovyo kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
2025-04-10T151226Z_1700982901_RC2WUDACAT2C_RTRMADP_3_TANZANIA-POLITICS-1320x826.jpg
 
SusaSusa FC 🙌🏾

...hata ikaja kutokea wanachama wote waliojiunga na CHADEMA wakapige Kura, uchaguzi mkuu 2025, hawatashinda.

Hiyo ni fact

NRNE ni kwa Wanachama wa CHADEMA.

...kwa Watanzania ambao wangependa kuona mabadiliko hata yale ya geresha, wanahitaji kutongozwa vizuri na sera mbadala.

CHADEMA haina sera!

Uzeni sera na sio kuwalazimisha watu kususia Uchaguzi.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Nyumbu wasahaulifu sana, chadema mkiongozwa na Lema mlisema bodaboda kazi ya laana wamelaaniwa. Leo mnaongozwa na hao wanaofanya kazi mliyosema ya laana halafu mnakuja kujisifu hapa?!
Nyumbu hovyo kabisa.
Hujui kinachoendelea
 
SusaSusa FC 🙌🏾

...hata ikaja kutokea wanachama wote waliojiunga na CHADEMA wakapige Kura, uchaguzi mkuu 2025, hawatashinda.

Hiyo ni fact

NRNE ni kwa Wanachama wa CHADEMA.

...kwa Watanzania ambao wangependa kuona mabadiliko hata yale ya geresha, wanahitaji kutongozwa vizuri na sera mbadala.

CHADEMA haina sera!

Uzeni sera na sio kuwalazimisha watu kususia Uchaguzi.
Usilie mambo bado
 
Usilie mambo bado
😌

Uliyasema haya haya huko nyuma, kwa maandishi na mikogo hii hii na Join the chain
255+
Never Never again

Mkaishia wapi?

Kiuhalisia wanaolia ni nyie chawa wa CHADEMA aka NYUMBU
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
😌

Uliyasema haya haya huko nyuma, kwa maandishi na mikogo hii hii na Join the chain
255+
Never Never again

Mkaishia wapi?

Kiuhalisia wanaolia ni nyie chawa wa CHADEMA aka NYUMBU
Kila tulichokisema kimetokea, tulisema Kiongozi anayejifanya Mungu atakufa na yakatimia
 
Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.

View attachment 3311266

Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchini Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms

Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.

NRNE ikitimia ntakua nimejifunza kitu ...
Na ikifeli ntajifunza kitu vilevile.
 
Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.

View attachment 3311266

Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila Mtanzania, Kariakoo ndio Kitovu cha Nchi na ndio Eneo kiongozi wa Mambo yote Nchini Tanzania, Kukubalika kwa Chadema kwenye eneo hilo ni Pigo Takatifu kwa Mamluki wapinga Reforms

Taarifa zingine zimeeleza kwamba Msafara utakaoanzia Makao Makuu Mikocheni utaongozwa na Zaidi ya vijana 300 wa Boda boda.
Na yule bodaboda (babu)atakuwepo.
Maana kasema hawatakubali kutumiwa na chadema
 
Kuhamasisha watu wasusie uchaguzi endapo hakuna mabadiliko ndio jambo la maana kila mtu akamate watu 100 na hao mia wakamate 100 siku ya kupiga kula kusiwepo na mpenda haki ambaye atakwenda kupiga kura. NRNE.
Huko "kususia" uchaguzi pekee wanakufurahia sana CCM. Wanatamani sana iwe hivyo, bila ya "No Election".
CCM wanajigamba wanao wanachama wao zaidi ya milioni 12. Hao au chini ya hapo wanatosha sana wakijitokeza kupiga kura kuwapa ushindi mnono CCM.
Suluhisho sahihi ni kutokuwepo kabisa uchaguzi siku hiyo.
 
Back
Top Bottom