Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Karibu sanaAisee..haya bana no reforms
Noma sana!Intelligence ya taifa inafanya kazi hadi imekamilika!!
Kweli!
Yes,Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
View attachment 3383161
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
HakikaNo reform no elections
College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
View attachment 3383161
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
Karibu sanaCollege politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.
HakikaUnakuta mtu anakwambia watu wanajadili Simba na Yanga badala ya mambo ya msingi. Hayo mambo ya msingi wapelekeeni huko huko Simba na Yanga kama zile harakati za uhuru.
College politics ndizo unazozijadili. Kina Nyerere walianza siasa wakiwa vyuoni.College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.
πππππCollege politics ndizo unazozijadili. Kina Nyerere walianza siasa wakiwa vyuoni.
Sasa hizo za kina Mwijaku zinawapeleka wapi CCM?
Wewe kweli mtoto, tena ingefaa ujiite, "Mtoto wa Shule Taahira"College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.