PreGE2025 No Reforms No Election yatawala kwa Mkapa kwenye mechi ya Derby, Mashabiki waripuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unaambiwa Muliro kapigwa na butwaa, hizo shangwe zimerindima karibu na alipokaa
Samahani. Nilitaka kutumia maneno magumu kuelezea hali ya nguo zake za ndani huyo Jumanne Mulilro wakati akishuhudia tukio hilo. Bahati nzuri alikuwa hakujiandaa kwa tukio kama hilo!
Huyu jamaa ni mmoja wa watu hatari sana ndani ya Genge la Samia.
 
Dogo unachotakiwa kujua, CCM ni dude kubwa sana. Stupid College Politics zenu zitaendelea kuifanya CCM kuwa madarakani miaka mia ijayo na hicho tunachotaka sisi CCM.
Kama ni dude kubwa sana mbona mnaogopa sana upinzani??

Kama ni dude kubwa sana mbona mnaua watu ili mbaki madarakani??

Kama ni dude kubwa sana mbona mnawaonea Chadema??

Kama ni dude kubwa sana mbona hamtaki kuwasikikiza wananchi na kuwapa katiba wanayostahili??

You're very stupid my friend, kuiba kura sio ukubwa, ni udanganyifu na udhaifu.
 
Samahani. Nilitaka kutumia maneno magumu kuelezea hali ya nguo zake za ndani huyo Jumanne Mulilro wakati akishuhudia tukio hilo. Bahati nzuri alikuwa hakujiandaa kwa tukio kama hilo!
Huyu jamaa ni mmoja wa watu hatari sana ndani ya Genge la Samia.
😆😆😆😆 Hakuamini macho yake
 
Hizi za kwenu; Samia na GENGE, tuziite 'politics' za kitu gani; utekaji/upotezaji/uuaji?
Au 'politics' za ulaghai/hadaa na kukiteka chama cha siasa na kukifanya kiwe kinga yenu ya kuwafanyia waTanzania maovu?
Jifunze world politics ndio uje ujadiliane na mimi dogo
 
Kama ni dude kubwa sana mbona mnaogopa sana upinzani??

Kama ni dude kubwa sana mbona mnaua watu ili mbaki madarakani??

Kama ni dude kubwa sana mbona mnawaonea Chadema??

Kama ni dude kubwa sana mbona hamtaki kuwasikikiza wananchi na kuwapa katiba wanayostahili??

You're very stupid my friend, kuiba kura sio ukubwa, ni udanganyifu na udhaifu.
Kwani nilipoandika CCM ni dude kubwa sana ulielewa nini? Nijibu kwanza kabla sijaeleza nilimaanisha nini.
 
Huko ndiko mtapigiwa kura kwani cdm ni timu ya mpira wa miguu na siyo chama cha upinzani
 
Back
Top Bottom