PreGE2025 No Reforms No Election yatawala kwa Mkapa kwenye mechi ya Derby, Mashabiki waripuka kwa Shangwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukweli anafanya siasa za kizamani
Huyu mama kwa matendo yale ya kishetani ya kudhulumu haki za binadamu wenzake, hadi kufikia kuwateka na kuwaua, hakika yeye na kizazi chake, wataambatana na laana siku zote za maisha yake. Na damu za aliowaua zitaililia haki yao mbala za Mungu siku zote. Watu wema wajitenge naye, wasije nao wakaichukua sehemu ya laana yake.
 
College politics ndizo unazozijadili. Kina Nyerere walianza siasa wakiwa vyuoni.

Sasa hizo za kina Mwijaku zinawapeleka wapi CCM?
Siasa hizo za kina Nyerere walizozianza shuleni zimeleta faida gani kwa Afrika iwapo bado kuna wajinga kama wewe wanaojificha humu jf?
 
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue

Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.

Mungu Ibariki Chadema.

Wote wenye mtindio wa Ubongo wanadhani Taifa halielewi,ktk wakati ambao watanzania wanataka wao kuchagua VIONGOZI basi ni sasa CCM MSIJIDANGANYE KAMWE, WE NEED REFORMS and not other wise.
 
Nilidhan ni mashabiki kumbe ni wale wale Wana arakati? Sawa ahsante kwa taarifa mkuu! Nakumbushia kwamba mi 5 tenaaaaaaaaaaaaaaaaa kwakishindo kikubwa
 
Huyu mama kwa matendo yale ya kishetani ya kudhulumu haki za binadamu wenzake, hadi kufikia kuwateka na kuwaua, hakika yeye na kizazi chake, wataambatana na laana siku zote za maisha yake. Na damu za aliowaua zitaililia haki yao mbala za Mungu siku zote. Watu wema wajitenge naye, wasije nao wakaichukua sehemu ya laana yake.
Amina
 
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue

Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.

Mungu Ibariki Chadema.

Hii ilibamba!!
 
Nyinyi Watu wajanja wajanja sanaa,, mliona upenyo mkaona muutumie hapo hapo!😁😁
 
Kwa faida ya sisi ambao hatukuwepo ingekuwa vizuri kama ungeweza kutueleza kama ni mashabiki wote wa Simba na Yanga walikuwa wanaimba No Reform,No Election.
Au kama ilikuwa ni wahuni wachache wa Chadema.
Suala hili limewaunganisha mashabiki wa Simba na Yanga , ni habari ya kutisha sana kwa Makaburu weusi CCM.
 
Utasikia 'ni kakikundi ka wahuni walitumwa' Ngoja waje
Ila ujumbe umefika!! Moto huanza cheche ndogo sana, Kisha huunguza misitu!! Lini uliona jambo hili likifanyika ktk ya mechi?? walizoe kutusaulisha kupitia mpira, lakini watu wagoma!! mpira umeisha wakaliamusha tena!! Ccm kazi mnayo, acheni kujifariji.
 
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue

Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.

Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.

Mungu Ibariki Chadema.

NO REFORMS ON ELECTION
 
Back
Top Bottom