Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Hatimaye watanganyika wameanza kuamka usingizi. Dawa za CCM zinazowapumbaza wabongo zimeanza kuisha nguvu. No reform no election.
Nani atahangaika Na huo upuuzi wenu wote tulikuwepo pale labda kama mliningonezanaHii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
Huwezi jibu hoja nzito dogo!We punguani kasome kwanza
Tanzania tangu uhuru viongozi wanachaguliwa na wananchi. Wewe kukubali au kukataa sio kosa langu na haiondoi ukweli uliopo.Pimbi wewe ishu sio kuingia madarakani ishu ni mfumo wa kupatikana kwa viongozi wanaotokana na kura za wananchi
Huwezi jibu hoja nzito dogo!
Wananchi wapi mkuu kwa goli la mkononi..? 🤣🤣🤣 haki wewe ni 💩💩💩Tanzania tangu uhuru viongozi wanachaguliwa na wananchi. Wewe kukubali au kukataa sio kosa langu na haiondoi ukweli uliopo.
Hatimaye watanganyika wameanza kuamka usingizi. Dawa za CCM zinazowapumbaza wabongo zimeanza kuisha nguvu. No reform no election.
Ahahahahaha! Haya mwerevu. msalimie mwerevu mwenzako Mdude! Ahahahahaha!!View attachment 3384233
Unataka hoja gani wewe mpumbavu. Uzi hauna hoja kule juu.
Nimekuita npumbavu kwa makusudi maana wewe ni mpumbavu kweli. Ni heri ungekua mjinga ningeendelea kukuelikisha ila hapana
CCM ipo madarakani juzi, jana, leo na kesho kwa kura za wananchi. Kama unafikiri una uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, jaribu uuone moto wake! Nyambafu!!Wananchi wapi mkuu kwa goli la mkononi..? 🤣🤣🤣 haki wewe ni 💩💩💩
Watanganyika bhanaSema, jamaa kwenye hili umetudanganya, hapo uwanja umelipuka kweli?
Mbona ni kakikundi kanako onekana kujiandaa kufanya tukio Hilo.
Dogo unachotakiwa kujua, CCM ni dude kubwa sana. Stupid College Politics zenu zitaendelea kuifanya CCM kuwa madarakani miaka mia ijayo na hicho tunachotaka sisi CCM.
Kesho ni fumbo.CCM ipo madarakani juzi, jana, leo na kesho kwa kura za wananchi. Kama unafikiri una uwezo wa kuiondoa CCM madarakani, jaribu uuone moto wake! Nyambafu!!
Na kabla fumbo halijafunguka mtawala ni CCM.Kesho ni fumbo.
Tayari umebarikiwaMimi ni mojawapo ambaye sitapiga kura.
Hizi za kwenu; Samia na GENGE, tuziite 'politics' za kitu gani; utekaji/upotezaji/uuaji?College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.