hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Yes,
ndivyo ilivyo gentleman, kwenye kundi la mamba kenge huwa hawakosekani,
halafu unajaribu kuwapotosha wadau kindezi kweli kamanda, dah!š
Apostle Mambo vipi?
Yes,
ndivyo ilivyo gentleman, kwenye kundi la mamba kenge huwa hawakosekani,
halafu unajaribu kuwapotosha wadau kindezi kweli kamanda, dah!š
Wataelewa tu. Makala anakazana kupiga propaganda uchwara anadhani Watanganyika ni mandeeeziHii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
View attachment 3383161
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
Hao hawakua JF, walikua live on the ground.College politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.
Lazima kushiriki vilivyo katika vuguvugu hili siyo kuwaachia watu wachache kina Lissu Heche, Mnyika, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa na viongozi wengine 200 wa chama huku umma wa People's Power nguvu ya umma tulio maelfu, malaki na mamilioni tuna woga mkubwa na kujistukia ....Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
View attachment 3383161
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
Sema, jamaa kwenye hili umetudanganya, hapo uwanja umelipuka kweli?Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
View attachment 3383161
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha kuwachanganya Waamuzi wa Kigeni waliokuja kuchezesha mchezo huo.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza vijana walioleta tukio hilo Uwanjani kiasi cha kuwafurahisha watu waliokuwemo.
Mungu Ibariki Chadema.
Intelligence ya taifa inafanya kazi hadi imekamilika!!
Kweli!
Unaambiwa Muliro kapigwa na butwaa, hizo shangwe zimerindima karibu na alipokaaSasa watateka wangp?!.
Mkuu habari za Geita, kama masikio unayo unaweza kujua waliokuwa wanaitikiaSema, jamaa kwenye hili umetudanganya, hapo uwanja umelipuka kweli?
Mbona ni kakikundi kanako onekana kujiandaa kufanya tukio Hilo.
ššš Uwanja mzima umeitikia kasoro viongozi 3 wa YangaUtasikia 'ni kakikundi ka wahuni walitumwa' Ngoja waje
Dogo unachotakiwa kujua, CCM ni dude kubwa sana. Stupid College Politics zenu zitaendelea kuifanya CCM kuwa madarakani miaka mia ijayo na hicho tunachotaka sisi CCM.
Hakuna record ya kihistoria kwamba Nyerere alianzia siasa college. Weka hapa ushahidi nami niweke wa kwangu. I'm waiting.College politics ndizo unazozijadili. Kina Nyerere walianza siasa wakiwa vyuoni.
Sasa hizo za kina Mwijaku zinawapeleka wapi CCM?
Mwisho wa ccm umefika RasmiDogo unachotakiwa kujua, CCM ni dude kubwa sana. Stupid College Politics zenu zitaendelea kuifanya CCM kuwa madarakani miaka mia ijayo na hicho tunachotaka sisi CCM.
Mtoto wa shule kweliCollege politics hazitawapeleka popote zaidi ya kuishia JF.
Basha wako Heche akilijua jina langu atatetemeka mwaka mzima. Dogo kama wewe ni just a piece cake! Ahahahahaha!!!Wewe kweli mtoto, tena ingefaa ujiite, "Mtoto wa Shule Taahira"
Kapuku tafuta kazi, ccm kwishaBasha wako Heche akilijua jina langu atatetemeka mwaka mzima. Dogo kama wewe ni just a piece cake! Ahahahahaha!!!
Ahahahahaha! I can't wait to see that! Ahahahahaha!!!Mwisho wa ccm umefika Rasmi