Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa
CHAKUSHANGAZA
China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China firmly rejects" na mengine mengi haya yamesemwa na waziri wa mambo ya ndani wa China
WAMAREKANI WANAOSOMA CHINA 460
WACHINA WANAOSOMA MAREKANI 280,000
sasa unajiuliza hawa watu si ndio wana best University in the world na best tech (wanasema wao) sasa si wasome nyumbani kwao ila hawataki wanalia lia na US sasa NO VISA
WAAFRICA
hawa wanaamini kodi zao zinasomesha watoto wa viongozi huko MAJUU wao ni sherehe na bata na wamesema Trump azuie hadi viongozi, sasa hivi watoto wao wataenda Ulaya huko maana hata UK haiwataki (czesh, slovakia etc)
CC: Xi Jinping