Elections 2010 NO way, No how, No Slaa!

Elections 2010 NO way, No how, No Slaa!

Hata mtandao wa NEC ambao ni nec.go.tz kama unavyoonekana hapo chini una leta wasiwasi kama kweli NEC ni chombo kitakachotuhakikishia uchaguzi huru na wa haki. Hivyo ndivyo mtandao wao unavyo-share IP na mmoja wa wagombea uraisi! Kwa namna hii maswali ni mengi sana... kwanini? Na kama ni IP ni ya serikali kwa nini campaign team ya mgombea itumea IP hiyo? je huku si kukiuka sheria za uchaguzi? Wasiwasi wangu ni hapo ndipo kura zinaweza kuchakachuliwa! Lazima tuchunge kura zetu katika kila stage
21,AS36024,datavision.co.tz,jkikwete.com,jkikwete2010.com,jmkikwete.com,mail.jkikwete2010.com,mail.pmo.go.tz,nec.go.tz,pmo.go.tz,www.datavision.co.tz,www.nec.go.tz,www.pmo.go.tz%211AS2,0NET1,0PTR3,3A0,4A0,5A0,6A0,7A0,8A0,9A0,10A0,11A0,12A0,13A0%215.png

Yaani the same IP address inatumika na watu zaidi ya 10 na ndio maana nahisi wizi wa kura kuwepo tu
 
Zawadi unachekesha na kuhuzunisha.

Kwa mtazamo wako wewe UNA AKILI NA UELEWA MKUBWA KULIKO DR. Silaa na kuliko "Dr." Kikwete.

Sina uhakika kama unajua dola 1mil ni Tsh ngapi na zaweza kufanya nini; kwa taarifa yako hiyo ni sehemu tu ya hela zilizotumika kwenye mabango HAZIJATAJWA ZOTE.
Je tukiachana na mabango, UNAJUA T-SHIRT, VIATU(raba), TRACK SUIT, KOFIA, VITAMBAA, KANGA, BEJI n.k NGAPI ZIMESAMBAZWA KWA WALALA HOI? Je uniform za makada wakubwa? Je MAGARI GX/VX MANGAPI MAPYA YAMENUNULIWA? Makamba ameziita pesa za magari kuwa ni "PESA ZA MAANDAZI TU"= hivi ni vijisenti tu.

Angalia mfano huu; Nchi kama Botswana yenye uchumi bora sana katika Afrika na watu wake wakihesabika si maskini, KIONGOZI ANAYEWANIA MADARAKA HAWEZI KUTUMIA HELA KAMA HIZO KWA MABANGO TU YA KUJINADI.

Mimi nakushauri ujiandae kugombea uraisi awamu ijayo.
 
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.

Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:

1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?

Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......

Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.

2. Elimu bure, utawezaje hilo.

Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.

Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.

Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?

Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:

Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........

Kila mwanafunzi anagharimu sh..........

Jumla ni sh..........

Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...

Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.

Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa

NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Na matundu ya choo yaliyojengwa kwa milioni 700 hapo unasemaje?, hauna hoja yoyote ya msingi tupa kule
 
Zawadi Ngoda nadhani hii uloiletahapa ndo imezidi kukuandusha, inaonesha ni jinsi gani usivyo fikiria na umeamua kutumia emotions badala ya ubongo. Ubinafsi wenu ndo unafumba macho msione ukweli. Elimika na badilika mama/baba!
 
kuna huyu zawadi na mwingine anajiita zubeda hawa watoto humu wananiudhi sana tena sana
 
2. Elimu bure, utawezaje hilo.

Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.

Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.

Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?

Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:

Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........

Kila mwanafunzi anagharimu sh..........

Jumla ni sh..........

Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...

Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.

Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa

NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Pole sana,
Kama huwezi kuona dhahiri kuwa KJ ni mbadhirifu mkubwa asiyejali vipaumbele vya taifa hili basi nasikitika kukuambia kua utakua na akili finyu sana. Inashangaza sasa kua kipaumbele kwa KJ ni kusambaza mabango nchi nzima badala ya kusaidia Elimu na Afya ya Watanzania, Huyu kweli ni mtu mwenye uchungu na nchi hii? Huyu ni mtu anaetutakia mema nchi hii au anajali yeye na familia yake?

Fungua macho na acha kuficha kichwa mchangani kama mbuni akidhania haonekani.
Matatizo ya Tanzania yameongezeka mara dufu katika kipindi hiki cha uongozi wa kj.
Ugumu wa maisha umeongezeka mara dufu.
Anaendelea kutoa ahadi ambazo hana mpango wa kuzitimiza.

huyu si kiongozi anaefaa kwa taifa hili.

Enough is Enough have to GO,
Please Help Tanzania by Voting KIKWETE OUT.
 
tatizo JK hana priorities,kama ameweza kuleta picha zake kwa million moja usd, magari ya wakuuu wa mikoa(mashangingi) etc jumla yake ngapi, hayo tu tunayo yafahamu jumla kuu ni mgapi, it means kuna hela nyingi inayopotea, (translation) hela hiyo ingetumika kwa mabo mengine kama elimu bure, tunaambiwa serikali inamatumizi makubwa mawaziri lukuki yote hayo ZAWADI hayaoni kweli huyu MBUMBU
 
Nikukumbushe tu dadangu, hiyo sh m.1, ni mfano tu wa kawaida, kama unafuatilia kampeni zake aliongelea pia wakuu wa wilaya ambao kimsingi ni makada wa CCM wanaotumia hela nyingi sana bila kuwa na kazi inayoeleweka.
Pia uelewe kuwa tofauti na Kikwete anayetumia wapigadebe wake kuwa ndo washauri wakuu wa kiuchumi na utawala, Dr. Slaa anatumia ushauri wa wataalamu waliobobea katika taaluma mbalimbali kutoka vyuo vya elimu ya juu hapa nchini!!
 
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.

Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:

1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?

Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......

Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.

2. Elimu bure, utawezaje hilo.

Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.

Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.

Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?

Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:

Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........

Kila mwanafunzi anagharimu sh..........

Jumla ni sh..........

Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...

Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.

Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa

NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Kama kuna hela za kuspend kwenye mabango kwanini zisiwepo za kuspend kwenye elimu? elimu yenyewe ya Tanzania ya shule bila viti, wanafunzi bila vitabu, walimu wa kuhudhuria tu si kufundisha, unashindwa kulipia? For sure inawezekana. SLaa anachosema ni kuwa oesa zipo isipokuwa ni matumizi mabaya ya pesa kwa mambo yasiyo na tija. Kama ukitumia vizuri pesa, kama ukiwa serious na kuwekeza kwenye elimu unaweza kuwekeza pesa nyingi ambazo tunaweza kukusanya kwa kuwa serious na kodi, na kufanya shule ziwe nzuri na elimu iwe nzuri.

Slaa alisema bungeni kuwa walisema mahali pa kutoa pesa, na walikuja na bajeti mbadala lakini serikali iliikata kwa sababu za kisiasa.
 
zawadi pole sana huyo unayemwita mbumbu mwenzako amefanya PhD kukaa darasani regardless ni ya specialization gani. Huyo mbumbu anapendwa na wasomi wengi mno wa Tanzania hii tena maprofesa wenmgine.We una elimu gani kwani? Tukuandalie media conference uulizwe masawali kama utaweza kuyajibu.
Umechelewa zawadi na JK wako tarehe 31 oct. tunawachinjilia mbali
 
Hata mtandao wa NEC ambao ni nec.go.tz kama unavyoonekana hapo chini una leta wasiwasi kama kweli NEC ni chombo kitakachotuhakikishia uchaguzi huru na wa haki. Hivyo ndivyo mtandao wao unavyo-share IP na mmoja wa wagombea uraisi! Kwa namna hii maswali ni mengi sana... kwanini? Na kama ni IP ni ya serikali kwa nini campaign team ya mgombea itumea IP hiyo? je huku si kukiuka sheria za uchaguzi? Wasiwasi wangu ni hapo ndipo kura zinaweza kuchakachuliwa! Lazima tuchunge kura zetu katika kila stage
21,AS36024,datavision.co.tz,jkikwete.com,jkikwete2010.com,jmkikwete.com,mail.jkikwete2010.com,mail.pmo.go.tz,nec.go.tz,pmo.go.tz,www.datavision.co.tz,www.nec.go.tz,www.pmo.go.tz!1AS2,0NET1,0PTR3,3A0,4A0,5A0,6A0,7A0,8A0,9A0,10A0,11A0,12A0,13A0!5.png

Kumbe "ushindi wa kishindo" unaanza hapa...
 
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.

Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:

1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?

Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......

Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.

2. Elimu bure, utawezaje hilo.

Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.

Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.

Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?

Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:

Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........

Kila mwanafunzi anagharimu sh..........

Jumla ni sh..........

Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...

Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.

Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa

NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Your elevator won't go to the top.
 
Ndugu Zawadi anaonekana hana uelewa (understanding) na yale yanayosemwa na kufafanuliwa na Dr Slaa, na nah and understanding yake si nzuri, na kwa hivyo katika hali kama hiyo Zawadi hawezi kujenga hoja kwa kutumia logical order.Bado hujawa critical ndugu yangu nakushauri urudi darasani ili unoe ubongo wako mapema.

Katika hierarch ya kujifunza na ili mtu awe critical kikweli kweili ni lazima uelewa wa ubongo wake ufuate hatua zifuatazo (1) to acquire KNOWLEDGE, (2)UNDERSTANDING (3) ANALYTICAL ABILITY (4) SYNTHESIS (5) EVALUATION.

Kwa hivyo ndugu yangu Zawadi unataka kutulazimisha uko stage ya 4-6 wakati maelezo yako yanaonyesha bado hujaqualify hata stage 1 na 2 ambazo ndizo basics.Pole sana, kazi kweli kweli.
 
Hata mtandao wa NEC ambao ni nec.go.tz kama unavyoonekana hapo chini una leta wasiwasi kama kweli NEC ni chombo kitakachotuhakikishia uchaguzi huru na wa haki. Hivyo ndivyo mtandao wao unavyo-share IP na mmoja wa wagombea uraisi! Kwa namna hii maswali ni mengi sana... kwanini? Na kama ni IP ni ya serikali kwa nini campaign team ya mgombea itumea IP hiyo? je huku si kukiuka sheria za uchaguzi? Wasiwasi wangu ni hapo ndipo kura zinaweza kuchakachuliwa! Lazima tuchunge kura zetu katika kila stage
21,AS36024,datavision.co.tz,jkikwete.com,jkikwete2010.com,jmkikwete.com,mail.jkikwete2010.com,mail.pmo.go.tz,nec.go.tz,pmo.go.tz,www.datavision.co.tz,www.nec.go.tz,www.pmo.go.tz!1AS2,0NET1,0PTR3,3A0,4A0,5A0,6A0,7A0,8A0,9A0,10A0,11A0,12A0,13A0!5.png

Ndugu hii inawezekana sana tu na sio sababu. Kwa ufafanuzi: hizo website ziko hosted katika server moja ambayo inatumia hiyo IP addr: 72.249.185.225, kwa hoja hiyo labda uje na swala lingine...
 
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya bungeni- alikuwa critical na wala hakutoa utatuzi wa tatizo.

Nitatoa mfano wa maswali haya mawili:

1. Mh Slaa, K AMPENI ZA MWAKA HUU ZIMELAUMIWA KUINGILIWA NA UDINI, NA CHADEMA KIMEKUWA KIKINYOSHEWA KIDOLE, NA PENGINE TUHUMA HIZO ZINAKULENGA WEWE Mh, wasemaje juu ya swala hilo?

Jibu: Nani asiyejua kuwa mimi ni mkatoliki au nani asiyejua kuiwa mimi nilikuwa Padre.......

Basi alibwabwaja hapo bila hata kujibu swali la msingi. Hatujakataa kuwa watanzania hawana dini zao wala hatujakataa kuwa watanzania na viongozi hawahudhurii misikitini na makanisani. Sasa ni nini anachotuambia hapo. Baada ya hapo akaja kwenye profesional yake ya kutoa critics kwa wengine. Huyu ni rais kweli au kichwa maji.

2. Elimu bure, utawezaje hilo.

Jibu: Mh Kikwete ameorder mabango ya picha yake ya kampeni toka Kanada. Na yamesafirishwa kwa ndege. Na yamesambazwa nchi nzima. Hata kule mtwara kuna nyumba inataka kuanguka lakini nje imebandikwa picha ya Kikwete. Gharama ya shughuli yote imeghalimu dola 1 mil.

Sasa hizo zingetumika kusomeshea wanafunzi zingetosha.

Kweli huyu mtu ni kichwa maji, wewe unaamini kweli kuwa dola 1 mil zinatosha kusomeshea wanafunzi tanzania nzima?

Majibu ya swali hilo yanahitajika yawe katika mtiririko ufuatao:

Idadi ya wanafunzi mwaka huu ni...........

Kila mwanafunzi anagharimu sh..........

Jumla ni sh..........

Pesa hiyo tutaitoa hapa sh.......pale sh.......na.....na...

Hivyo ndivyo wizara yake kivuli ya uchumi ilibidi ifanye mahesabu kabla ya kupayuka kwenye majukwaa elimu bure.

Huyu kwenye uchumi ni Mbumbumbu kabisaaaa

NO WAY, NO HOW, NO SLAA.

Wewe ni JUHA tu!
 
Zawadi wewe kwako "Kigoma itakuwa kama Dubai" "Reli ya kisasa Dar mpaka Mwanza" ndo unaona sera inayo tekelezeka.?
 
Back
Top Bottom